Kwanini wanawake wengi wazuri na waliosoma na wenye wanazalia nje ya Ndoa( Nyumbani kwa wazazi wao)

Kwa nini wanawake wengi wazuri wa sure na warembo kweli ,wenye kazi zao nzuri na wenye elimu nzuri huzalia kwa wazazi wao yaani wanazaa kabla ya ndoa na ndio hao walio wengi wanaokuwa nyumba ndogo .
Je elimu yao haiwasaidii kujenga familia zao zaidi ya zilizokwisha jengwa na wenzao..
Nimehudhuria vikao vingi vya Chit Chat hakika walio wengi bado bado sana..
Nini Tatizo..Naomba nisirushiwe mawe ni mtazamo tu

Walienda shule hawakuelimika, walijazwa ujinga. Usifikiri kwenda shule ndio kuelimika, huko kuna kujazana ujinga zaidi ya kuelimishana.

Unategemea nini ikiwa mtoto wa darasa la tatu anaanza kufundishwa namna ya kutumia condom?
 
Back
Top Bottom