WinterSummer
Member
- Nov 5, 2017
- 37
- 32
Wanaringia uzuri wao kwa hiyo hawataki kushughurisha akiliHabari za majukumu, wazawa na wasio wazawa,
Naomba kuuliza hivi, kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless? Yaani pumba, hasa ukiwasikiliza katika maongezi yao, hawaongei mambo ya maana kabisa.
Naomba ambao mna uzoefu na hili mnipe uzoefu/uthibitisho juu ya hili.
N.B; mimi ni mgeni humu kwa kupost japo ni mwenjeji kwa kusoma post zenu.
Hivyo punguzeni utani!
Hata kwenye kuolewa pia huwa ni aghalabu sana,sijui kama umeliona hili..??Habari za majukumu, wazawa na wasio wazawa,
Naomba kuuliza hivi, kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless? Yaani pumba, hasa ukiwasikiliza katika maongezi yao, hawaongei mambo ya maana kabisa.
Naomba ambao mna uzoefu na hili mnipe uzoefu/uthibitisho juu ya hili.
N.B; mimi ni mgeni humu kwa kupost japo ni mwenjeji kwa kusoma post zenu.
Hivyo punguzeni utani!
Too philosophical Mwl.Uzuri unapumbaza akili za Anaeumilki na anaeutumia
Dah! Akikunyima kitu kichwani ni hasara/janga kubwa.Mungu hawezi kukujalia vyote!
Hasa linapokuja suala la mipango madhubuti ya maisha,,,,ni bure bure kabisa.Mkuu umesema Kweli hapa mtaan tupo nao yaani hawajawahi kuwa serious na maisha,they take it easy !!!
Ahsante mkuu! Vp wewe pia umekutana nao kumbe!Mtoa mada upo sahihi kabisa chukua soda nitalipa
Ha haaaahaaaaaa! Hongera brother, that's why nikasema Wengi,Kwa maana hiyo wapo wachache kama wife wako(picha tafadhali), lkn most of them ni empty minded/hopelessDuh....
Labda huyo mwanamke wako. Wakwangu ni beautful and smart in mind.