Kwanini wanawake wengi wanapenda kutembea na Mashoga?

Hivi una shughuli zako unapata wapi muda wa kuongozana na mashoga jamani..au hujaelewa? Mashoga wale mapunga! Sio mashost!
Nimeelewa sana dear. Mimi nilidhani ukiwa na kazi hamna muda wa kuongozana na marafiki , maana yake wewe ni kazi kazi.

Nilitaka tuu kujua uwepo wa kazi unaingiaje hapo maana kama unaweza kuongozana na marafiki wa kike palikuwa hamna umuhimu wa kusema ni "kukosa kazi" hata gay anaweza kuwa rafiki yako na hata ndugu yako au mtoto wako.

Wanaume wengi wenye mambo ya kike (gay) huwa ni designer wa mavazi, hair dresser, make-up artist na " wabeba pochi". Hivyo watu wanafanya kazi nao, mkiona wanaongozana lazima kuna kitu mtu anabenefit.
 
Nafikiri dada manengelo kadefine kazi kulingana na kazi anayoifanya yeye bila kutazama uhalisia wa kazi wanazozifanya watu wengine wengine kufuatana pamoja ni sehem ya kazi yao. Hao wanaume wanapenda kufanya kazi na wanawake sababu kisaikolojia wanatamani kua wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom