Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
- Thread starter
- #41
je wewe ukifungua duka likianza kukuingizia faida nyingi unalifunga?? ama unaongeza lingine? tuanzie hapo
Inategemea kwenye hilo duka unauza nini, kama biashara ni ya black market...
Ikiwa inakudhalilisha unaweza sitisha na kufungua biashara nyingine pale utakapopata mtaji.