HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,317
- 103,575
Mtu anajiuza kwa miaka mpaka 10 hajapata mtaji wa kuanzisha biashara nyingine?
Sababu ndio chenyewe wanaweza fanya
Mtu anajiuza kwa miaka mpaka 10 hajapata mtaji wa kuanzisha biashara nyingine?
Sababu ndio chenyewe wanaweza fanya
Sijasema waache mkuu,ila nlifikiri kwakuwa wengi wao ndio wanalalamika sana kuwa tatizo ni pesa nikategemea wakishapata mtaji kwa wateja kadhaa wanatemana na hiyo business.
Kuitema kabisa ni ngumu mkuu..Wengi wanaoingia huko ni wale wanaotaka easy money
So hata akipiga pesa ya kutosha kesho akiwa hana atarudi tu...
kuduu pia raha nahisi ndo maana hawaachiMtu anajiuza kwa miaka mpaka 10 hajapata mtaji wa kuanzisha biashara nyingine?
Wengi ni kwa ajili ya pesa ila pia nakubali kuwa wapo wengine ni kwa sababu ya mazoea yao .wale wenye shida ya pesa kama atapata bwana na akamuweka ndani na akampa huduma mzuri basi wanaweza kuacha kabisa sababu alichokuwa akitafuta amekipata nasema hivyo kwa sababu wapo ninao wajua na wametulia sana.kazi ni pale akiwa ni mtoaji wa 0713 hii kuacha ni ngumu sana nasema hayo sababu nipo naye karibu .no question😉:thumbup:
masai dada kwani wakiolewa hawata du? au vipi akiwa na mtu wake mmoja anaye du naye?kuduu pia raha nahisi ndo maana hawaachi
utakulaje ndizi kila siku? wakati umezoea fruits salad?masai dada kwani wakiolewa hawata du? au vipi akiwa na mtu wake mmoja anaye du naye?
utakulaje ndizi kila siku? wakati umezoea fruits salad?
ukizoea maladha tofauti ni ngum pia kutulia
may b naeza ita sugu
Ingekuwa hivyo wengi wangeshaacha kujiuza mkuu,kwasababu wamefanya hiyo biashara siiiiince,
Wewe ukipata hela utaiacha hiyo kazi yako inayokupatia hela?
Shukrani kwa hints, sasa nianze kuwaepuka wavimba macho....
Usisahau wale waliopauka ngozi