Kwanini Wanawake wengi wanaojiuza wana sifa hizi?

Kwanini Wanawake wengi wanaojiuza wana sifa hizi?

Tanganyikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
1,160
Reaction score
364
Habarini wakuu,

Sijafanya full research kwa wadada woote wanaojiuza ila nimegundua wengi wana sifa zifuatazo na mtu akibisha basi abishe kwa hoja:-

1) Kwanza sababu ya kujiuza sio shida ya PESA, nina mfano hai wa mabinti kama 7 hivi wanaojiuza hapa jijini,wana maisha mazuri tu na wamejenga kabisa au wamepanga katika nyumba zenye hadhi tu. Ila usiku ukifika wanawasha magari yao binafsi na kwenda katika business centre zao,halafu hapo wanaenda vijana wateja kama kina sisi ambao hatuna maisha mazuri wala mali kama hao mabinti,saa nyingine huwa wanachukua pesa kimadharau wakijua una maisha ya kawaida sana na wanawajali mapedeshee (wao wanawatambua hata kwa kuwaangalia tu)

2) Wengi wao wanatambulika kwa sura tu, mwanawake ma..l.aya unaweza ukamtambua kwa sura,kuna namna flani ukiwaangalia mchana ni kama wamevimba macho na macho yanakuwa yamechokachoka na ngozi yao imepauka flani hivi. Niliwahi kuambiwa ni kwasababu huwa hawapati usingizi wa kutosha.

3) Wengi wana hasira na matusi ya hovyohovyo: Hata akiwepo nyumbani tu au mahali pa kistaarabu anaweza akatukana hovyo na kuona ni kawaida. Sijui ni kwanini wanashindwa kujicontrol (hii inaboa sana hata kama dem ni mzuri vipi)

4) Wengi ni watundu sana kitandani na wana pumzi haswa.

5) Wengi wana figure nzuri haswa.

6) Wengi hawafi kwa HIV/UKIMWI,labda kwa sababu zingine za vifo.

7) Wengi wao wanajua sana kuisoma akili ya mwanaume,mara nyingi ukienda kuongea nao biashara wanakuwa tayari wamejua lengo lako kuwa unataka kivipi hadi mbio zako wanaweza kudetermine na hawataki longolongo nyingi.

SWALI LA MSINGI:

*Kama kweli shida yao ni pesa,waliojiuza kwa miaka mingi na kutajirika mbona bado wanajiuza?

*Ina maana nchi ikija kuwatengenezea ajira hakutakuwa na mabinti wanaojiuza?

* Ina maana wasiojiuza wakikosa pesa watajiuza?

* NI NINI HASA SABABU YAO KUJIUZA?
 
Dont be fooled kila mtu huwa anashida na pesa.. Pesa huwa haitoshiiiiiii
 
Wengi wanaojiuza wanafanya hivyo kutafuta pesa..Hizo nyingine ni porojo tu

Ingekuwa hivyo wengi wangeshaacha kujiuza mkuu,kwasababu wamefanya hiyo biashara siiiiince,
 
Dont be fooled kila mtu huwa anashida na pesa.. Pesa huwa haitoshiiiiiii

Hamna namna nyingine ya kuzitafuta? Wanawake wote wenye pesa wakikosa watajiuza,Right?
 
tamaaaa namba moja
baada ya hapo utakuta amefanikiwa {according to em} but not agree,so hata wengine wanajikuta katika mkumbo huo
sehemu ya kuongeza vipato vyao kutokana na mishahara midogo
 
Kwa nn waache??..kwamba pesa wamepata za kutosha??

Sijasema waache mkuu,ila nlifikiri kwakuwa wengi wao ndio wanalalamika sana kuwa tatizo ni pesa nikategemea wakishapata mtaji kwa wateja kadhaa wanatemana na hiyo business.
 
Interesting topic

wengi mwanzo huingia kwa shida ya pesa
lakini shughuli yoyoye ili ukiifanya na ikakulipa ni rahisi mno kubaki kuendelea
unakuwa kama 'umenasa' hivi

hata drug dealers nao hivyo hivyo...hata kama mwanzo alisema nikipata mtaji naacha baada ya mda
anashindwa kuacha.......

sababu zipo nyingi....ikiwemo kuizoea hiyo shughuli
kutokuwa ready kujifunza shughuli zingine.....

Msichana yeyote yule akiweza kwenda ku sex na mwanaume kwa dakika chache sana
akalipwa mfano elfu 50 ...msichana huyo itakuwa ngumu kwake aende kuajiriwa
aamke asubuhi kila siku kutafuta laki 5 kwa mwezi

ndo maana wazee wana imani kuna kazi kama 'zina laana'
ukianza ni ngumu kuacha
 
Wengi wao wanafanya kutafuta pesa sema anafanya muda mrefu na baadae anakuja kuwa addicted kuacha anashindwa. Ni sawa na mwizi anaiba kwasababu hana pesa akishapata pesa kuacha inakuwa Ngumu maanake alishazoea(japo kuna wanaoacha)
 
Ndiyo ajira au kazi kongwe kuliko zote duniani.
Wanunuzi nao ngumu kuacha kama ilivyo kwa wauzaji.
 
2) Wengi wao wanatambulika kwa sura tu, mwanawake ma..l.aya unaweza ukamtambua kwa sura,kuna namna flani ukiwaangalia mchana ni kama wamevimba macho na macho yanakuwa yamechokachoka na ngozi yao imepauka flani hivi. Niliwahi kuambiwa ni kwasababu huwa hawapati usingizi wa kutosha.

Shukrani kwa hints, sasa nianze kuwaepuka wavimba macho....
 
Interesting topic

wengi mwanzo huingia kwa shida ya pesa
lakini shughuli yoyoye ili ukiifanya na ikakulipa ni rahisi mno kubaki kuendelea
unakuwa kama 'umenasa' hivi

hata drug dealers nao hivyo hivyo...hata kama mwanzo alisema nikipata mtaji naacha baada ya mda
anashindwa kuacha.......

sababu zipo nyingi....ikiwemo kuizoea hiyo shughuli
kutokuwa ready kujifunza shughuli zingine.....

Msichana yeyote yule akiweza kwenda ku sex na mwanaume kwa dakika chache sana
akalipwa mfano elfu 50 ...msichana huyo itakuwa ngumu kwake aende kuajiriwa
aamke asubuhi kila siku kutafuta laki 5 kwa mwezi

ndo maana wazee wana imani kuna kazi kama 'zina laana'
ukianza ni ngumu kuacha

Nimekuelewa vizuri sana The Boss
 
Last edited by a moderator:
Hamna namna nyingine ya kuzitafuta? Wanawake wote wenye pesa wakikosa watajiuza,Right?

Sikumanisha hvo mkuu..kuamua kutafta pesa kwa kujiuza ni maamuz tu ya mtu kama ilivo mama lishe anavoamua kufungua biashara ya msosi
 
Ni ajira kama ajira nyingne.. Ujue nchi za kwa wenzetu wanatambulika..wako kwene system na wanalipa kodi kama wafanyakazi wengine
 
Back
Top Bottom