Kwanini wanawake wengi wa JF wanaonekana kuchangia sana post zinazohusu mapenzi ukilinganisha na post zingine?

Hahahahh naona imerudi

Na inakoleaga unapowataja tu mimi nishaachaka maaana jukwaa langu pendwa ni hayo mawili ya mwanzo na kule Chinii kabisa.

Nashangaa na la kule chini nao wanaume ndo wanaongoza cc Ambiele Kiviele na msafwa

Mtoa mada naomba usirudie kuwasema wadada, wamama, na mashemeji wangu huku maana usiombe wakakujia ni kama umekutan na wasiofahamika.

UTAPATA TABU SANA

CC
Linamo
gfsonwin
Sexless
Iron batterfly
Everline salt
masai dada
Numbisa

na wengineo
Mimi msomaji tu siku hizi...
 
Nikimjibi mtoa mada nitasema hivi

Wanawake humu jamvini tunapita ili kurefresh mind zaidi kuliko kuwa serious na maisha. Sabb kubwa tumebeba mzigo mkubwa sana kwanza wa uzazi na mlezi lkn pia wa kutafuta kipato kwa ajili ya familia

Unlike most of men here, kazi kulalamika tuu, ukiwa siasani ooooh siasa mbaya wanasiasa waongo, mkiwa kwenye biashara mara ooh Kodi kubwa, biashara ngumu, mkiwa MMU mara ooh mapenzi yanatutesa etc.

Sisi wanawake tumejifunza kulalamikalalamika kama wanaume wa humu jamvini
 
Habari za muda wadau!
Nimeona Leo nijaribu kuona maoni ya wadau kuhusu wanawake wengi kuonekana wakivamia post za mapenzi na kuonekana kuwa na mchango
Lakini katika pitapita zangu siwaoni wakichangia sana Kwenye post zinazohusu siasa wala siwaoni Kwenye jukwaa la teknolojia wala uchumi.

Hii inakaaje tunakoelekea Kwenye uchumi wa kati?
Na kuna siri gani ya wanawake kuwa na mwamko mkubwa Kwenye maswala ya mapenzi zaidi ya wanaume?
Siasa zipii? Za bongo au out of Africa?
Hata wewe uongeapo na mwanamke ushawahi kupiga nae stor za siasa au uchumi??? Kama wewe tu hupigi nae hizo , wao pia hawako interested.

Nothing personal.......
 
Hahahaaa!
Huwa nawashangaa sana wanaume wanao ona kuwa ni werevu kuliko wanawake.

Mwanaume kama huyo huwa nasema hana elimu mtambuka hajui kwamba akili anazo dhani kuwa anazo basi kazirithi toka kwa mama yake.

Istoshe huwa nawashangaa zaidi kwan hata maofisin ukiona mwanaume ana mwaga mapoint mazuri ujue mkewe yuko safi up stairs kiasi kwamba usiku kucha alikuwa anatoa desa jinsi ya kupresent issue. Lkn mkifika jukwaani mnajidai wajanja ile mbaya.

Kwa sisi wazoefu tunawaona washamba tuu
 
Nikimjibi mtoa mada nitasema hivi

Wanawake humu jamvini tunapita ili kurefresh mind zaidi kuliko kuwa serious na maisha. Sabb kubwa tumebeba mzigo mkubwa sana kwanza wa uzazi na mlezi lkn pia wa kutafuta kipato kwa ajili ya familia

Unlike most of men here, kazi kulalamika tuu, ukiwa siasani ooooh siasa mbaya wanasiasa waongo, mkiwa kwenye biashara mara ooh Kodi kubwa, biashara ngumu, mkiwa MMU mara ooh mapenzi yanatutesa etc.

Sisi wanawake tumejifunza kulalamikalalamika kama wanaume wa humu jamvini

safi kbs
 
Kwakweli........

Mada za mapenzi haziumizi kichwa kama kwenye uchumi na jukwaa la siasa
 
Wanawake wameumbwa kwa ajili ya kustarehesha.

Tekinolojia na siasa ni mambo ya kiume.

Ww mwenyewe mtoa mada unaujua ukweli, bila mchango wa uwepo wao na kututia hamasa, dunia ingechujuka na kupauka.

Maendeleo unayoyasema yanatafutwa kwa ajili ya kuhifadhi wanawake.

Wapo wapambanaji kwa uchache, lakini wengi wameumbwa kuhamasisha.

Angalia michango yao humu ihusuyo mapenzi! Mingine inakupa hamasa na muhu wa kumuoa hata bila kumpima kwa sura yake.
Ama unaonaje wanaume wanavyojituma kwa moyo wote kutenda iwapo nyuma yake kuna rundo la wanawake washangiliaji, iwe michezoni ama vitani?
Yeaaaaaaah
 
Nikimjibi mtoa mada nitasema hivi

Wanawake humu jamvini tunapita ili kurefresh mind zaidi kuliko kuwa serious na maisha. Sabb kubwa tumebeba mzigo mkubwa sana kwanza wa uzazi na mlezi lkn pia wa kutafuta kipato kwa ajili ya familia

Unlike most of men here, kazi kulalamika tuu, ukiwa siasani ooooh siasa mbaya wanasiasa waongo, mkiwa kwenye biashara mara ooh Kodi kubwa, biashara ngumu, mkiwa MMU mara ooh mapenzi yanatutesa etc.

Sisi wanawake tumejifunza kulalamikalalamika kama wanaume wa humu jamvini
Sawa.
Ni vizuri kutokua serious na Maisha!
Big up
 
Mkuu hao unaowaona wachangiaji kwa style ya kisichana sichana hao ni wanaume asilimia kubwa ni wale wanaotafuta watu haswa kama unakuaga na comment negative juu ya jiwe jihadhari sana...sio kila anaechangia kisicha sichana ni msichana
 
Nauuunga mkono hojaaaaa mkuu njoo hapa DAR SAFARI PARK huku Temeke agiza chochote kile tena njoo na ukoo wako.
Gharama juu yangu hadi usafiri
 
Back
Top Bottom