Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,390
Inashauriwa na inapendeza sana, kwa mwanaume yeyote anapotafuta mwenza wa maisha, basi aoe mwanamke smart kichwani na sio hopeless, ili pamoja na kuwa na familia nzuri na bora, mnaweza pia kusaidiana kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. And of course kuna faida nyingi tu, kuwa na mwanamke aliye smart upstairs.
Tatizo lililopo kwa hawa wanawake smart kichwani ni kwamba wengi wao sio romantic. Huchukulia mapenzi kwao kama ni kitu cha tatu after maendeleo yao binafsi, na kuwa bize na other issues kma kusoma kila wakati na ikitokea kuna mabishano au kupishana kidogo tu, they never go down, na ni wachache mno kukuta wanaomba samahani, regardless kosa ni la nani. Atapambana mpaka mwisho hata kama kakosea yeye.
Na kwakuwa mapenzi kwa wengi wao hawayapi kipaumbele, basi kitandani wanachojua wao dushelele likiingia basi, ndo washamaliza. Hakuna utundu wowote. Hapa sasa mume akijaribu tu kuchepuka kwa kina Mwajuma Sinanoma, Aisha, etc, watoto ambao ni wa uswazi, lazima apagawe.
Maneno yangu sio sheria!