totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,404
Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.
Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??
Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)
Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Naombeni ushauri wanajamvi
Asanteni sana.
Mfundishe jamaa namna ya kudeal nae sasa maana tayari inaonekana maji yapo shingoniUnachipotia ni sawa na nnachopitia Mimi.
Mchepuko Wangu niko nae mwaka wa 3 Sasa.
Binafsi siko tayari kuzaa nae na kwa Sasa mpaka changamoto zake za kitabia zitakaporekebika.
Nina Watoto 3 , yeye Hana hata mmoja.
Anataka kabla hajafikisha 30 awe keshapata mtoto.
Ila chenga nnazompiga kuhusu kuzaa nae
Hata yeye mwenyewe haelewi hili picha nalichezaje.
Kategesha Sana ila mimba hapati ng'oo.
Afu mimi Ndio wa kwanza kumlaumu kwanini hataki kunizalia. Basi ananung'unika anataka mpaka kwenda hospitali kupima.[emoji4]
Cc: Joannah Interlacustrine E
Huyo si ni mchepuko tu, hana gharama...usiogope kuja kwako na akija mchape vibao vya kufa mtu.Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.
Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??
Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)
Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Naombeni ushauri wanajamvi
Asanteni sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mpige chini alafu kamwambie mkeo kwamba kuna singo maza anakutaka kwa lazima wakati wewe haumtaki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataa kua sub-contractor
[emoji23][emoji23]Mpige chini alafu kamwambie mkeo kwamba kuna singo maza anakutaka kwa lazima wakati wewe haumtaki
😂😂😂...Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Wee ACHANA NAYE HUYO,Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu.
Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4.
Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5.
Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana.
Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.
Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs.
Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania.
Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??
Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye
Na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili.
Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)
Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.)
Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza.
Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Naombeni ushauri wanajamvi
Asanteni sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Deep Pond unaitwa huku uje kutoa ushauri wako Rais Mkuu wa Michepuko JF [emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya masuala yakitoto mnapofanya watu wazima mnatupa mashaka na kuhisi labda mmekua miili lakini akili bado zakitoto.
Huyo mdada anaona sio muda utastaafu kwahiyo anataka uhalali wa kuwa mnufaika wa pensheni maana atakuburuza ustawi kama usipomhudumia.
Achana nae na hizo vurugu mwambie aje hata kesho nyumbani azifanye akimaliza asepe. Unampa heshima Sana kuita kamchepuko na Ana umri sawa na mfalme zumaridi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani watoto wa single mothers wana kasoro gani ukilinganisha wale wa wazazi wawili?Sina data ambazo zinathibitisha kutoka mamlaka husika lakini kwa tathmini kutoka mitaani tunakoishi, maofisini tunakofanya kazi, makanisani na misikitini hali inaonekana dhahiri shahiri kuwa idadi ya single mothers inakua kwa kasi kubwa sana.
Turudi nyuma kidogo miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa binti akizalia nyumbani akiwa anaishi na wazazi wake au kijana kumzalisha binti wakati kijana huyo akiwa anaishi kwa wazazi wake ilikuwa ni mwiko (taboo). Lakini kwa sasa kuna kitu hakipo sawa. Inaonekana ni jambo la kawaida sana na mpaka limepewa jina la kizungu “Single Mother”
Tujadili pamoja ongezeko hili tatizo ni mmomonyoko wa maadili au ni ukosefu wa wanaume wenye uthubutu wa kuoa? Ama wanaume ni wachache? Au ni fasheni na mfumo mpya wa maisha?
Tufahamu kuwa Familia ndio kiini na chimbuko la Taifa lolote, hofu yangu ni kwamba kama idadi ya familia za single mother zitaendelea kutakuwa na walakini katika Taifa katika miaka kadhaa ijayo, tunaweza kuona ni kitu cha kawaida tu lakini athari zake tutakuja kuziona miaka ijayo.
Karibuni kuchangia mada.
Kuna suala la mahitaji na Malezi. Mtoto akilelewa na single parent kuna kitu kimojawapo anakosa kutoka kwa mzazi mmoja inaweza kuwa suala la kimaadili au kihuduma/hitaji au kisaikolojia.Kwani watoto wa single mothers wana kasoro gani ukilinganisha wale wa wazazi wawili?
Na jichanganye uoe single mother utaelewa show😀😂Sina data ambazo zinathibitisha kutoka mamlaka husika lakini kwa tathmini kutoka mitaani tunakoishi, maofisini tunakofanya kazi, makanisani na misikitini hali inaonekana dhahiri shahiri kuwa idadi ya single mothers inakua kwa kasi kubwa sana.