Point namba 3 Nakupa KONGOLE[emoji4][emoji106]umeongea ukweli kuhusu future ya jamii zetu na ya taifa in generla. issue ya single mamas; bila kuhusisha data kama uliyo sema, kwa mtazamo wa kawaida tu ninaweza sema inaanzia katika jamii zetu wenyewe.
1. inaanzia katika malezi ya zama hizi tulizo nazo, how? Technically Single mama huwa wanaishi kwa kujihami "najilisha, najivalisha" mtoto anae lelewa na single mama hukuwa ktk imani hii na hata yeye atakuwa akiamini kuwa akishakuwa na access ya mbili tatu basi mwanaume sio issue tena kwake, anaweza zaa mtoto na kulea nk. hivyo stream ya single moms inazidi kuongezeka kwasababu hyo.
2. Wanaume nao wanaona vile single mamas wanavyo ishi, ikitokea akawa na mahusiano na mtto wa single mama basi always ataishi kwa tahadhali ya kudhalauliwa, hvyo ataishi akiamini mtoto huyo ana mindset kama ya mama ake, so ni suala la muda tu before hawaja achana. Kwa mentality hii relationships kama hizo huwa hazifiki mbali, tayari anakuwa anaandaliwa single mama mwingine.
3. Wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye sifa zenye kufanana na mama zao, angalau kidogo. Wanaume hao hao wamezaliwa 90's. Inamaana mama zao ni old model, mabinti wa leo wana lifestyles nyingine kabisa hawapo katika angle za waoaji...so mahusiano mengi yanakuwa short term, hata ikitokea mimba basi wanaweza kulea tu, ila si kigezo cha kuishi wote.
Naomba nisinukuliwe vibaya tafadhali...usipo elewa ukae tu kimya, ukielewa pia kaa kimya.
Ulaya wanaongoza,HV Kati ya Africa na ulaya na marekani wapi Kuna masingke mamaz wengi Zaid
Acha kabisa,Mtu anakuambia kabisa mi nataka nizae na wewe tu ntalea mwenyewe! Haya mambo sio ya kudiscuss tena Tuishi nayo tu....
Kama wale ng'ombe waliochafua maji ya mto Mara[emoji4]Jibu ni ndio,wanakera sana hawa mapimbi,wanazaa zaa hovyo kama mifugo
Wee ACHANA NAYE HUYO,
umri huo na watoto wa.4
BADO UNA ENDESHWAA
UmenenaKuwa single mother siyo mwisho wa kuolewa au kuzaa.
Njoo nikuoeKuwa single mother siyo mwisho wa kuolewa au kuzaa.
Dah!..huyu akija kuolewa atazaa kweli ?....Nacheza na vidonge vya P2 na soda ya bitterlemon.
Hii nikijua nmemwaga ndani,
ndani ya Masaa 48 nahakikisha anapata bia za kutosha mpk anapata HANG OVER.
Kisha namshawishi anywe soda ya crest bitterlemon kuondoa uchovu.
NB: Hii soda ya crest bitterlemon au Everest hata uchanganye pakt nzima ya P2 ladha yake haibadiliki kabisa.
Kwaiyo yeye hajui kwamba kamezeshwa vidonge vya kuzuia mimba bila hiari yake.[emoji4]
Cc: witnessj
Lala upumzike kidogoNjoo nikuoe
Bila kuangalia Horror movies usingizi haujiLala upumzike kidogo
Sawa mkuuBila kuangalia Horror movies usingizi hauji
Afadhari ningekuwa na demu ghetto
Wee lala tu maana upo na jamaa hapo anakubebishaSawa mkuu
Anazaa vizur sanaDah!..huyu akija kuolewa atazaa kweli ?....
hahahah we muhuni sana mzee kwahio unambugilisha p2 kisha unamlaumu mbona hashiki mimbaUnachipotia ni sawa na nnachopitia Mimi.
Mchepuko Wangu niko nae mwaka wa 3 Sasa.
Binafsi siko tayari kuzaa nae na kwa Sasa mpaka changamoto zake za kitabia zitakaporekebika.
Nina Watoto 3 , yeye Hana hata mmoja.
Anataka kabla hajafikisha 30 awe keshapata mtoto.
Ila chenga nnazompiga kuhusu kuzaa nae
Hata yeye mwenyewe haelewi hili picha nalichezaje.
Kategesha Sana ila mimba hapati ng'oo.
Afu mimi Ndio wa kwanza kumlaumu kwanini hataki kunizalia. Basi ananung'unika anataka mpaka kwenda hospitali kupima.[emoji4]
Cc: Joannah Interlacustrine E
Hivi unajua nguvu ya mchepuko mwenye mtoto wako? Usiombe tena hasa ukiwa na mke na familia. Huyo mtoto atakuwa fimbo ya kukuchapia hasa kama unataka kutunza siri.Kata mirija yote ya kuhudumia kaa mwezi mmoja tu bila kumpigia wala kutumia msg wala kwenda kwake, atakutafuta mwenyewe atakwambia nilikuwa natania tu. Usimwoneshe huwezi kuishi bila yeye la sivyo atakutesa sana. Ila pia kama anataka mtoto mpe kwani tatizo lipo wapi, kama unaweza kuwahudumia hao wawili pamoja na familia yako Kuu iweje uwaze kuhudumia katoto kamoja tena damu yako. Ukiamua kula haramu chagua iliyonona.
Hii akili nzuri haswaa. Ni kupoteza ushahidi kwanzaMkuu hiyo ni alert nyekundu, ukiona anawaka hivyo bado ajapata mtoto utambue kuwa ukimzalisha atataka na sehemu ya mali yako kabda ujafa, zinduka anakupeleka pabaya wewe na familia yako, inaenda kuingia kwenye migogoro, sasa fanya hivi siku jifanye mpole chukua simu yake futa picha zako kama uliwai kupiga nae, futa sms, ingia kwa email yake futa google drive yake yote, futa kila ushaidi unaohisi utakutia matatani kisha tafuta rikizo job safiri mkoani, ukifika huko unamchunia mwezi mzima, ukirudi unaendelea na maisha na mke wako , usimjibu sms wala usipokee call yake, kisha muone kama atapata hizo nguvu za kuja kwako kufanya fujo, hiyo ndo imetoka ndo dawa ya wanawake ving'ang'anizi.