Kwanini wanawake wengi huchukia jinsia yao?

kuna jirani yangu ni KE tena ameenda age sana ila anajua kudaka vijana wa kitaa mpaka
wameisha sasa siku 1 alipowaona mabinti wazuri akasema 'ningekuwa mwanaume ningeshawagonga sana hawa mabinti wote na mimba juu!!!!' so mtoa mada hizi kauli hutokea kwa reason na wala usimaanishe,,,, mostly huwa na homon 2 yaan jikedume.
 
IMEKAA VIBAYA ILA MATUMIZI YAKE NDO MAZURI ... HIVI ULIWAHI KUIONA???
 
kuna jirani yangu ni KE tena ameenda age sana ila anajua kudaka vijana wa kitaa mpaka
wameisha sasa siku 1 alipowaona mabinti wazuri akasema 'ningekuwa mwanaume ningeshawagonga sana hawa mabinti wote na mimba juu!!!!' so mtoa mada hizi kauli hutokea kwa reason na wala usimaanishe,,,, mostly huwa na homon 2 yaan jikedume.
 
huo utafiti umefanyia wapi?
mimi navopenda nilivoumbwa na papuchi?
sijui ningeumbwa bila papuchi ingekuwaje yaani
papuchi ilivotamu? weee toa uzi wako wa uongo hapa
prouldly woman!!!!!!!!!!!!!
ina utam gan, hebu mwaga hints baaaas
 
Inategemea mazingira yaliyopelekea mhusika kutoa kauli ya aina hiyo....
 
Kweli.

Mimi kuna Shemeji yenu/Wifi yenu mmoja aliwahi niambia,

Anapenda angezaliwa Mwanamme kwa kuwa Wanaume hawana mambo mengi, kuanzia maumbile, hawahitaji kupendeza, dakika kumi Mwanamme zinamtosha kuoga na kuchana nywele zake, tofauti na Mwanamke ambae mambo yanakuwa mengi.

Kingine akaniambia ingekuwa yeye Mwanamme angekuwa anawagegeda sana Wanawake.

Alimalizia kwa kusema, "Nawaonea wivu sana jinsia ya kiume"
 
Kati ya vitu sijutii ni kua kuzaliwa mwanamke
Safi sana.

Jikubali kwa vile ulivyozaliwa.

Kuanzia jinsia yako, Maumbile yako.

Maana kuna wengine akiwa na makalio madogo anataka kuyakuza yawe makubwa.

Akiwa mweusi anataka atumie mkorogo ili awe mweupe.

Akiwa na pua ya kusambaa, anataka aende akaichonge ili iwe nyembamba.

Akiwa na Manyonyo madogo yuko tayari akapigwe kisu ili Manyonyo yawe makubwa (yatutumuke).

Na hali kadhalika kwa Wanaume, Mweusi anataka awe mweupe.

Uume aliozaliwa nao haridhiki nao, anataka aukuze ili aonekane awe na Uume mkubwa
 
Hata mwanaume awe na shida kiasi gani.... Sijawahi kusikia akisema anatamani kuwa mwanamke au anatamani angezaliwa mwanamke.
Sasa hao wanaume wanaojibadilisha kuwa jinsia ya kike mashoga wewe huwaoni au mpaka wapayuke
 
Safi sana.

Jikubali kwa vile ulivyozaliwa.

Kuanzia jinsia yako, Maumbile yako.

Maana kuna wengine akiwa na makalio madogo anataka kuyakuza yawe makubwa.

Akiwa mweusi anataka atumie mkorogo ili awe mweupe.

Akiwa na pua ya kusambaa, anataka aende akaichonge ili iwe nyembamba.

Akiwa na Manyonyo madogo yuko tayari akapigwe kisu ili Manyonyo yawe makubwa (yatutumuke).

Na hali kadhalika kwa Wanaume, Mweusi anataka awe mweupe.

Uume aliozaliwa nao haridhiki nao, anataka aukuze ili aonekane awe na Uume mkubwa
Kwakweli namshukuru Mungu hivi nilivo. Naridhika na uumbaji wake kwangu
 
kauli hii kwa nchi za wenzetu mwanamke hawezi jutia jinsia yake, ila africa mwanamke anasema hayo kutokana na mifumo dume kila kona kila sekta na katika ngazi zote kuanzia familia hadi ktk uongozi wa nafasi mbalimbali, hivyo mwanamke kila upande anajiona hana thamani, kwa mumewe, uongozini, siasa, elimu, makazini hivyo mwisho wa siku mwanamke anawaza ningekuwa mwanaune ningepata yote.........
 
Mungu alivyo kuumba ridhika,usijichukie japo wanawake wanauchungu wa kuzaa na hedhi kila mwezi mjikubali.
 
kuna jirani yangu ni KE tena ameenda age sana ila anajua kudaka vijana wa kitaa mpaka
wameisha sasa siku 1 alipowaona mabinti wazuri akasema 'ningekuwa mwanaume ningeshawagonga sana hawa mabinti wote na mimba juu!!!!' so mtoa mada hizi kauli hutokea kwa reason na wala usimaanishe,,,, mostly huwa na homon 2 yaan jikedume.
Wengi wao niliopata kusikia kauli zao, zikikuwa ni za kumaanisha na za dhati kabisa.... Hazikuwa na msukumo wa vichocheo....
 
Inategemea mazingira yaliyopelekea mhusika kutoa kauli ya aina hiyo....
Unadhani ni mazingira gani yanaweza mpelekea akatamani jinsia tofauti kabisa tena kwa kumaanisha......
 
Kweli.

Mimi kuna Shemeji yenu/Wifi yenu mmoja aliwahi niambia,

Anapenda angezaliwa Mwanamme kwa kuwa Wanaume hawana mambo mengi, kuanzia maumbile, hawahitaji kupendeza, dakika kumi Mwanamme zinamtosha kuoga na kuchana nywele zake, tofauti na Mwanamke ambae mambo yanakuwa mengi.

Kingine akaniambia ingekuwa yeye Mwanamme angekuwa anawagegeda sana Wanawake.

Alimalizia kwa kusema, "Nawaonea wivu sana jinsia ya kiume"
Hapa ninaanza kuamini kuwa sikobpeke yangu..... Ni kweli kabisa, 99% ya haya maneno nimepata kuambiwa na mwanamke....
 
Kati ya vitu sijutii ni kuzaliwa mwanamke
Kuna tofauti kati ya Majuto na Matamanio.

"Sio rahisi kujutia kuwa tajiri mwenye thamani ya Bilioni 50 za kitanzania bali waweza Kutamani kuwa tajiri mwenye thamani ya Bilioni 70."
 
Sasa hao wanaume wanaojibadilisha kuwa jinsia ya kike mashoga wewe huwaoni au mpaka wapayuke
Ni vyema zaidi kujikita kwenye mada kuliko kwenda Out-Of-Point.
 
kauli hii kwa nchi za wenzetu mwanamke hawezi jutia jinsia yake, ila africa mwanamke anasema hayo kutokana na mifumo dume kila kona kila sekta na katika ngazi zote kuanzia familia hadi ktk uongozi wa nafasi mbalimbali, hivyo mwanamke kila upande anajiona hana thamani, kwa mumewe, uongozini, siasa, elimu, makazini hivyo mwisho wa siku mwanamke anawaza ningekuwa mwanaune ningepata yote.........
Mchango wako ni chanya. Hongera.
 
huo utafiti umefanyia wapi?
mimi navopenda nilivoumbwa na papuchi?
sijui ningeumbwa bila papuchi ingekuwaje yaani
papuchi ilivotamu? weee toa uzi wako wa uongo hapa
prouldly woman!!!!!!!!!!!!!
UNGEKOSA UTAMU WA DUSHELELE
 
Back
Top Bottom