pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Unamaanisha nini mpendwa?Kutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kukatiza kwenye barabara yenye magari yaendayo kasi huku ukiwa umefumba macho..........
Kutafuta mwenza kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kukatiza kwenye barabara yenye magari yaendayo kasi huku ukiwa umefumba macho..........
Hawa wa mitandaoni ndo hao hao wa mitaani ni swala kupeana muda tu kujuana vizuri ili kama hamuendani kila mtu ashike njia yake tatizo tuna fake sana jambo ambalo likija kuwa wazi basi ni kusorota mahusianoMademu wa kwenye mitandao most of them ni frustrated...
Uamuzi ni wako. Uchague frustrations au happiness.
nadhani ungetaka watu wajitangaze hiviWengi wanaotafuta wachumba humu huwa wanaweka na vigezo vya mwanaume wanae mtaka lakini huwa wanasahau kuweka na sifa zao zingine kama: mimi mchafu, mimi goigoi, mimi gume gume, mimi mgomvi, mimi nikitabasam ni Kama nalia. Muwe mnatoa na upande wa tabia zenu ili kama mtu anakuja pm ajue anakwenda kwa stephane Mc Mahon Yaani makofi nje nje.
umeona eeehhh ahahaaa yetu moyoni siku tukiyatoa watajutraaaa, kazi kumwiga masanja kuleta ujinga humu nyoooUmeona wanawake tu!! Mbona hakuna mwanaume anayetaja sifa hizo unazoziita zingine? Mf.mie kibamia,choka mbay,fidodido,mbahiri,mbea,nina gubu,nk nk nk nk??
nimeongelea wanawake sio wanaume.nadhani ungetaka watu wajitangaze hivi
mimi ni Mr. X, age 54yrs,
Nimeoa nina watoto wa nne, nina kibamia/kimbilimbi natafuta mchumba Mzuri mwenye Bla bla bla
hayo ya kwenu moyoni mkiamua kuyatoa mtoe.lakini jibu kwanza hili kwa nini hamtaji?umeona eeehhh ahahaaa yetu moyoni siku tukiyatoa watajutraaaa, kazi kumwiga masanja kuleta ujinga humu nyooo