Ndoa imebeba hatma ya maisha na future ya mwanaume, so unaweza ukakuta wana wanazipiga sana pisi kali mtaani, ila kwenye kuoa anaoa wa kawaida. So hamna anaye waogopa kuwatogoza, ndio maana kila siku wanagongwa,ila tabia zao kwenye mahusiano ya uchumba ndizo zinawaogopesha wanaume kuwaoa.