Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,243
- 40,249
Ita depend na mwanaume, kuna wale low confidence, akijiona sura haijafika viwango vya anae mdate anaingiza hofu, hana pesa, hana maisha fulani so automatic na vile jamii ina waset attractive ladies basi anajiona hana bahatiHakuna lolote mnatuogopa tu
Mnahisi tuna deserve better
'Uzuri' wa mwanamke upo machoni pa mwanaume.Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.
Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.
Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.
Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.
Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time you as a man dating or marrying her will be a victim of her venom.
Uzuri wake usikuzibe macho ya kuona ukweli, ukiona red flag yoyote kanuni ni ile ile, HIT AND RUN
Hasa umkute ni mzuri halafu kichwani hamna kitu na hafungamani upande wowote wa imani... huwa wanakuaga viburi sana.Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.
Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.
Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.
Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.
Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time you as a man dating or marrying her will be a victim of her venom.
Uzuri wake usikuzibe macho ya kuona ukweli, ukiona red flag yoyote kanuni ni ile ile, HIT AND RUN
weka picha princessHakuna lolote mnatuogopa tu
Mnahisi tuna deserve better
Nimesema kwanini hamuolewi, sio kwanini hamtombwi.. elewa context ya mada.Hakuna lolote mnatuogopa tu
Mnahisi tuna deserve better
mimi hata sikuogopi, kinachonifelisha sijawahi tu kukutana na wewe, ningekuwa nishakuoa kitambo.Hakuna lolote mnatuogopa tu
Mnahisi tuna deserve better
Hapana zipo sura za baba pia hazijaolewa, kwaiyo usijipe moyo πππ.. ila ukiangalia uwiano utaona waoolewa wengi ni wa kawaida sanaInamaana ambao hatujaolewa ndo wazuri?πππ kuolewa ni bahati na mapenzi ya mtu bhana
Iyo misemo ya wababaishaji tu. Mwanamke mzuri anajulikana na mbaya anajulikana.'Uzuri' wa mwanamke upo machoni pa mwanaume.
Ninayemuona mimi kuwa ni mzuri, wewe waweza kuona ni takataka.
Uzuri wa sifa ya jumla jumla ni ubaya ubwela.
Tangu nikiwa mdogo na sasa nazeeka bado sijajua hii kitu inasababishwa na nini...ni wazuri kweli kweli kwa umbo, sura na mavazi.Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.