hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,389
mmekutana ".. at your own level "...Haahahahahah subiri mawe
mmekutana ".. at your own level "...Haahahahahah subiri mawe
Hahaaaa loh kirahisi hivoNafikl muda mwafaka wa kujenga family yako. Karbu pm
Eeeh ndiwooommekutana ".. at your own level "...
Sawa pita tu ndugu yanguhapana napita tu".. relux
Wee not that easy my dearUgumu na urahis vyote lengo lake moja hivyo hii ni first step kufika kwe malengo
U'r welcome queen
Alaa sawa sawaEeeh ndiwooo
Haujui utamu wao wewe..Na kwanini wanaume mtafte side chick hapo stop blaming women laumu wote tu isingekuwa wanaume kuonja onja ma side chick wasingekuwepo, pia walioa/ olewa na wao ndo wana michepuko tu, so haijalishi kuwa single au lah!
[emoji23][emoji23] ulichokiandika kinaonyesha wewe ni wale wale, japo huwezi kiri.Nani anatumika mi sipendagi Ku date mume wa mtu ili iweje nilioandika ndo ukweli wenyewe majority ya wanawake wanapenda hivo mana haina usumbufu na unajijua kabisa mipaka yako
Exactly,tatizo wanaume wakifanya wao wanahalalisha, akifanya mwanamke yanageuka matusi na kudhalilishwaHata wanawake wenye ndoa wanamichepuko . watu waache zinaa ndio suluhisho tofauti na hapo ni kuwaonea wanawake walio single.
Hahaaaaaa kazi mnayo aiseeHaujui utamu wao wewe..
Wala sipendi Mimi mahusiano tu ya kawaida yamenishinda mie[emoji23][emoji23] ulichokiandika kinaonyesha wewe ni wale wale, japo huwezi kiri.
Miss yuHahaaaaaa kazi mnayo aisee
Thank you me tooMiss yu
can we chat privately?Thank you me too