Kwanini wanawake wasioolewa wako tayari kuwa sidechicks?

Kwanini wanawake wasioolewa wako tayari kuwa sidechicks?

Miaka ya 2000s ilikua mbali san ila sijui inekuja kuwaje.

Wambura mtani ana host, je huu n uungwana, lugha gongano na kipind kingine ata sikijui jina ata nkipata ili jina nita update hapa
Aisee".. nawapa pole
 
About future? How unadhan utalast na mume wa mtu? Coz unajua in the end utarud to square one wkt mume wa mtu ataenselea na mke wake...
I think wadada mjijengee uwezo wa kusema No.
Mimi mwenyewe sipendi kabisa Ku date na mume wa mtu course hapo ni starehe tu no future na kutoana hamu kabisa, ila inaufuu kuliko kudate vijana ni maplayer wana end kukuumiza tu akili hawana, sasa mtu mwenye familia anajielewa ana jali afya yake na wengi wana maadili sema ndo wanapitiwa, tofauti na vijana ana madume zaidi ya 10 hapo hata kiafya ni hatari sana.

Na wadada wengi wa naona no ila kusogeza mda kumtafta right partner wa life
 
Wewe ni "wale wale.. "

Endelea kutumika kwa manufaa ya muda mfupi

Wadada ifike mahali muweze kusema "no" la sivyo mtaendelea kuita wanaume mbwa
Nani anatumika mi sipendagi Ku date mume wa mtu ili iweje nilioandika ndo ukweli wenyewe majority ya wanawake wanapenda hivo mana haina usumbufu na unajijua kabisa mipaka yako
 
Hahaha, we umeongea ukweli
Yeah ukweli mchungu mume wa mtu hafanyi ujinga ana familia yuko matured na focused sasa vijana ni pasua kichwa kweli kweli, hawezi kuku shauri lolote au kukupa tafu
 
Huyu kaona ile thread ya Iron jana na yeye kaja kuanzisha.

Mjibuni kua kwenye mahusiano mwanamke anakomaa haraka kiakili kuliko mwanaume ndomana anejielewa hawezi date na hata anelingana nae
Ni kweli wanawake akili zetu hupevuka haraka sasa Ku date na kijana asiyefikiria mbele ni kazi, sasa mwisho wa siku wanawake wanandondokea group la watu wazima ambao wameoa, mi mwenyewe mwanaume anizidi 10 years na kuendelea hivi, hivi kijana mwenzangu ctaki mazoea, nitakuwa si jiamini au nimuone mtoto flani hivi
 
Habari brother n sisters! Emu tuambieni nimeona threads kadhaa za wadada ambao ni ma sidechick wakionesha kua hilo kwao si jambo la kustaajabu! Mbali Na hilo mm binafs Huwa nina kipindi cha maswala ya mahusiano radio Moja mkoani,na nimekua nikitafutwa Na wadada mbalimbal kwa ushaur wa maswala hayo ya mahusiano lakin cha ajabu wengi tena mabinti wa miaka 21+ wengine wanavyuo Na wafanyakaz pia hasa manesi wamekua wakitoka Na wanaume za watu...labda tujadili kipi kipo behind raha ya kua Na mwanaume wa mtu ni nn? swali kwa wadada. Kwa mawazo yangu wanawake weng ndo wanatoka Na wanaume wa watu kulko wanaume kutok Na wake za watu.
Jibu rahisi ni wanapenda vilivyo kwisha pikwa
 
Hawana lolote ni kupenda ready made tu. Pia hawataki kubanwa. Wanataka kesho akadange kwa mwingine na mwingine maisha yaende. Mwisho wa siku wanazalishwa halafu wanakuja kulia lia hamna waoaji. Mtakoma
 
Hongera ya kusema ukweli kuwa ww unapenda waume za watu kwa sifa ulizoweka hapo
Mi sipendi Ku date kabisa na waume za watu bora nibaki single tu basi maana no future maybe for starehe na sio kugandana sijui nini
 
Wanakubali kuwa side chick sababu anajua kuwa kunakupanda cheo
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana
Ha ha ha
 
Mi sipendi Ku date kabisa na waume za watu bora nibaki single tu basi maana no future maybe for starehe na sio kugandana sijui nini

Sasa hizo cfa umezijuaje km hujawahi kuwa na mume wa mru?
 
Sasa hizo cfa umezijuaje km hujawahi kuwa na mume wa mru?
Si vtu vipo kwenye jamii naviona plus shihuda mbali mbali pia niliwahi date na mtu mda mrefu sikujua kuwa na familia alini ficha ila nili enjoy si kupata stress kama vijana aisee, he was very matured though naye akataka swala la kuzaa, pia mi nikamwacha baada ya kugundua ana family yake
 
Back
Top Bottom