Kwanini wanawake wasioolewa wako tayari kuwa sidechicks?

Kwanini wanawake wasioolewa wako tayari kuwa sidechicks?

Wana stress sana mabinti kwenye mahusiano,halafu hawatoi matunzo
Kwanza hawaeleweki wanataka nn,wao kuwaza starehe na ngono
Wakati mume wa mtu atakupa hata michongo ya biashara,atakununulia plot,mkikaa mnajadil maendeleo most of the time,sio ngono tu
Asante kwa ufafanuzi wako
 
Hafu ukitoka na mume wa mtu anajielewa wako vzuri kila sector hakubani bani pia ni mtu aliyetulia tofauti na vijana wabahili hafu wanakupanga wanawake kwa wingi. So waume za watu wana kiasi pia ni safe tofauti na kijana
Utaitwa shetani sasa hivi.....nawakumbusha wanaume ni wachache mnooo wanawake tupo wengi sana kila mtu akiwa na wake peke yake wengine watakufa na nyege zao...
 
Utaitwa shetani sasa hivi.....nawakumbusha wanaume ni wachache mnooo wanawake tupo wengi sana kila mtu akiwa na wake peke yake wengine watakufa na nyege zao...
Hahaaaa hafu sasa mtu ana ny.... Azitolee wapi lazima apate kipoozeo tu mahali hapo panakuwa hamna, mnatoana hamu na no stress life linaendelea ukijifanya wahangaika na vijana wenzako unaweza kuchukia mapenzi forever
 
Haahahahahah subiri mawe
 
Hahaaaa hafu sasa mtu ana ny.... Azitolee wapi lazima apate kipoozeo tu mahali hapo panakuwa hamna, mnatoana hamu na no stress life linaendelea ukijifanya wahangaika na vijana wenzako unaweza kuchukia mapenzi forever
Duuu hatr
 
Habari brother n sisters! Emu tuambieni nimeona threads kadhaa za wadada ambao ni ma sidechick wakionesha kua hilo kwao si jambo la kustaajabu! Mbali Na hilo mm binafs Huwa nina kipindi cha maswala ya mahusiano radio Moja mkoani,na nimekua nikitafutwa Na wadada mbalimbal kwa ushaur wa maswala hayo ya mahusiano lakin cha ajabu wengi tena mabinti wa miaka 21+ wengine wanavyuo Na wafanyakaz pia hasa manesi wamekua wakitoka Na wanaume za watu...labda tujadili kipi kipo behind raha ya kua Na mwanaume wa mtu ni nn? swali kwa wadada. Kwa mawazo yangu wanawake weng ndo wanatoka Na wanaume wa watu kulko wanaume kutok Na wake za watu.
Tatizo Dini zimelimit wake wa kuowa huwa najiuliza mbona miaka ya zamani wanawake karibia wote walikuwa wanaolewa kabla hata ya kufikisha miaka 20? Nikapata jibu kuwa wanaume walikuwa wanaowa wanawake wengi
 
Si vtu vipo kwenye jamii naviona plus shihuda mbali mbali pia niliwahi date na mtu mda mrefu sikujua kuwa na familia alini ficha ila nili enjoy si kupata stress kama vijana aisee, he was very matured though naye akataka swala la kuzaa, pia mi nikamwacha baada ya kugundua ana family yake

Nakupa hongera zaidi
 
Mi siogopi mawe yaliyonikuta kwa vijana sina hamu had nikimuona klyyn na babu mengi naona ana faidi watu wazima wanajua mapenzi vijana hawajielewi walah
Nafikl muda mwafaka wa kujenga family yako. Karbu pm
 
Back
Top Bottom