Kwanini wanawake wanawahi kusahau shida

Kwanini wanawake wanawahi kusahau shida

Ni nature kusahau, unataka tuweke kumbukumbu za nini? Ili tufe na strokes na magonjwa ya pressure kama ninyi?
 
Ila unawasaidia sana, haswa mnapochepuka na kushikwa huwa tunasamehe na kusahau! Ninyi mnaweza hii?

Kwa mwanaume kusamehe? hm! hm!

dont dare to get caught, tena akiwa na kauwezo kuzidi mwanamke, ndo itakuwa sababu ya manyanyaso!

the case cant be forgotten!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom