Unamkuta binti kijijini kachoka, kapigika hata mafuta ya kujipaka hana anavaa kandambili za kuunga lakini kwa kumuangalia tu ana sura nzuri japo haina matunzo.
Ukioa ukaja nae mjini ukamfungulia kamradi akaanza kupata hela anasahau shida zote za kijijini na kuanza dharau kwa mmewe.