Kwanini wanawake wanafurahi sana wakifunga ndoa?

Kwanini wanawake wanafurahi sana wakifunga ndoa?

Wanafurahia kukutana na kipande cha mguu wa tatu
 
5.Gauni la harusi:
Mwanamke huvaa gauni lake la harusi mara moja tu katika uhaiwake wakati wanaume wanaweza kuendelea kuvaa suti zao za harusi wakati wowoteule wapendao. Kwa hiyo kwa wanawake jambo hilo la kuvaa gauni la harusi ndiyondoto yao na ndiyo maana wengi huzifukuzia ndoa na wanapobahatika huwa nafuraha isiyo kifani
.

Dah... Ukweli wa hii upo harusi zote. Hizo nyingine zinabagua kidogo. (Mdogo angu hua analiangalia tu gauni lake, na kujisifia jinsi gani alipendeza siku hiyo)
 
Kweli kabisa kwa msichana kuolewa ni kitu cha furaha sana. Japo ya siku moja. ila tokea umapoambiwa kuhusu hiyo ishu mpaka anapoapa mbele ya jamaa na viongozi wa dini hiwa tupo tunaelea hewani tu!!!
Ni raha sana.
Sasa basi baada ya kusema haya. Ni wasichana wachache sana wanapata walichodhani kinapatikana. Wengi tunasikiliza stori za kusifia haya maisha ya ndoa so tunadhani sinema na na picha za wenzetu zinaonyesha uhalisia.
Hatujiandai.
Ni bahati mbaya sana wengi wanakuwa dissapointed.

Ila walobahatika kupata mume mwenye kila kitu ni raha sana.
Wanaume wengi sana hawana hata 20% ya matarajio yetu.
Badala ya kupata mume wa heshima unapata aibu. Mtu mvivu mchafu mjinga au hana adabu wala jusara ya kujificha masikini si mjanja kitandani. Yani ukipata mwenye 70% ya haya lazima atakuwa mzee.
So tunabebana tu kwa shida. Familia nyingi mjini zinabebwa na kina mama. Na wanajitahidi kukaa kimya na kuficha siri kwani ni aibu zaidi.
 
kabisa, sina shaka huwa na declare interst zangu zote mapema Honey Faith....
very interesting wandugu ndoandoano ndiyo kwa maana cheti kinasainiwa kabla wanandoa hawajaanza kuishi pamoja walijuwa mengi yataikumba safari ya ndoa. timiza wajibu wako ndoa haina tatizo ni jambo takatifu ila wanandoa wanachezea fursa za ndoa. ndoa is very powerful kosea yote usikosee kuoa au kuolewa na MTU ambae atakuyesa katika ndoa..

.I am afraid napoona michepuko inazidi kila kukicha haya na suluhu LA wanandoa kwa muda na sio sustainable huko nje kunahatari zaidi ya huyu unaemuacha ndani. mweshowe unafirisika na magonjwa juu kwa sababu umevunja agano kati yenu na mungu. Wanandoa msidanganyike ndoa haina muamana wakurekebisha ndoa yenu ni nyie wenyewe.

man timiza wajibu nawe make mtii,mpende,mjali mumeo MPE chakula apate nguvu za kwenda kufanya kazi..nimeona wanawake wengi wanakuwa mapolisi kwa waume zao akikosea kidogo maneno furushi na chakula wala huduma yoyote mume hapewi. majaribu yananguvu sana utashangaa mume ataanza kuzitafuta hizo huduma nje na hapo ni balaaaaa fimbo ya musa ikishaua nyoka nje hutaipata tena.mweeeeee
 
very interesting wandugu ndoandoano ndiyo kwa maana cheti kinasainiwa kabla wanandoa hawajaanza kuishi pamoja walijuwa mengi yataikumba safari ya ndoa. timiza wajibu wako ndoa haina tatizo ni jambo takatifu ila wanandoa wanachezea fursa za ndoa. ndoa is very powerful kosea yote usikosee kuoa au kuolewa na MTU ambae atakuyesa katika ndoa...

I am afraid napoona michepuko inazidi kila kukicha haya na suluhu LA wanandoa kwa muda na sio sustainable huko nje kunahatari zaidi ya huyu unaemuacha ndani. mweshowe unafirisika na magonjwa juu kwa sababu umevunja agano kati yenu na mungu. Wanandoa msidanganyike ndoa haina muamana wakurekebisha ndoa yenu ni nyie wenyewe. man timiza wajibu nawe make mtii,mpende,mjali mumeo MPE chakula apate nguvu za kwenda kufanya kazi.

.nimeona wanawake wengi wanakuwa mapolisi kwa waume zao akikosea kidogo maneno furushi na chakula wala huduma yoyote mume hapewi. majaribu yananguvu sana utashangaa mume ataanza kuzitafuta hizo huduma nje na hapo ni balaaaaa fimbo ya musa ikishaua nyoka nje hutaipata tena.mweeeeee

Nakubaliana na wewe.....
 
Wanafurahi sana kwa sababu WATAACHA MICHEPUKO ISIYO YA LAZIMA:smile-big::smile-big:.
 
Hivi kumbe wanaume wananuna kuoa...

ha ha ha ha...nakumbuka enzi hizo ndoa ina miaka michache mume wangu alikuwa anasafisha pete yangu now and then na kupenda kugusa gusa pete yake akiwa mbele za watu (to me that was crazy)...nadhani kuoa alikuwa anakufurahia kupita maelezo...

kwa hiyo ndoa ni furaha kwa wote me na ke...na kila mmoja ana namna ya kuonyesha furaha yake...hata hizo picha tu sijaona mwanaume alonuna hapo...

labda unambie ndoa za lazima kama za mkeka...
 
Its just that ,, its every womans' dream,, as it brings a feeling of COMPLETENESS .....

Dear absolute true... Almost all of us marriage is our big dream since we are little.. And we both have different vision in what kind of wedding we want, what kind a man , what kind of dress we will wear, what kind of life we want to live as Mrs.in the house, how many kids we want to have , and etc. Its true that woman to get marry make us to feel completeness and all our dreams to come true . Some they feel everything is possible in the name of Love after getting marry .. Thanks .....
 
very interesting wandugu ndoandoano ndiyo kwa maana cheti kinasainiwa kabla wanandoa hawajaanza kuishi pamoja walijuwa mengi yataikumba safari ya ndoa. timiza wajibu wako ndoa haina tatizo ni jambo takatifu ila wanandoa wanachezea fursa za ndoa. ndoa is very powerful kosea yote usikosee kuoa au kuolewa na MTU ambae atakuyesa katika ndoa..

.I am afraid napoona michepuko inazidi kila kukicha haya na suluhu LA wanandoa kwa muda na sio sustainable huko nje kunahatari zaidi ya huyu unaemuacha ndani. mweshowe unafirisika na magonjwa juu kwa sababu umevunja agano kati yenu na mungu. Wanandoa msidanganyike ndoa haina muamana wakurekebisha ndoa yenu ni nyie wenyewe.

man timiza wajibu nawe make mtii,mpende,mjali mumeo MPE chakula apate nguvu za kwenda kufanya kazi..nimeona wanawake wengi wanakuwa mapolisi kwa waume zao akikosea kidogo maneno furushi na chakula wala huduma yoyote mume hapewi. majaribu yananguvu sana utashangaa mume ataanza kuzitafuta hizo huduma nje na hapo ni balaaaaa fimbo ya musa ikishaua nyoka nje hutaipata tena.mweeeeee

Dear I agree . But to add more marriage is about to sacrifice, to be patient in both ways and not one way .. most of the couples after getting marrying they lost the meaning of marriage and every one of them wants to be on the top , no respect what's so ever .. We forget what made us to fall in love in each other at the first time . We also forget to put God first in everything we do . We are always trying to do in our own strength. If we could just remember to put Our God first , To establish the Love, To remember where we came from, To stay commit in our Court, To be patient, To Remember the things or reasons made us to fall in love with the people we marry at the first place, To communicate well , To forgive one another, To be humble , and To be a giver and not receiver .. I think we wouldn't have higher numbers of Divorce rates. And let's remember marriage its not about making love only , its about compassion, contrast , compare, compromise and working together as one team to reach there.. .. Thanks..
 
Back
Top Bottom