inuka uangaze
Member
- Mar 13, 2015
- 53
- 11
expire date
Mi naona heshima ndo kikubwa.
Kina dada tukiendekeza njaa tutafika pabaya. Kuingia kwenye ndo uki expect matatizo ya hela yataisha n.Hi big joke.iyo 1 ni ngeni kabisa kwangu aisee.
Lol. Hiyo ya tatu kwangu mimi ndoa haijawahi kuwa ndoto. Its a rite of passage.
Gauni? Seriously??
To conclude hii lazima itakuwa imeandikwa na binti bae bado ana unrealistic expectations A ndoa.
Anasubiri Prince Charming aje riding a white chariot and will elope to a far away land where she will wear a magnificent gown and live happily ever after.
Namba moja ndiyo kila kitu kwa mwanamke tena wengine wana quote hata vifungu vya bible yaani mzigo wote financially anambwagia mwanaume
mie labda regyula mgedo gedo tu.
He he full kutupia mapics IG & FB wanawake bana
Ha Ha Ha Ha Ha HaKumbe wanawake ambao hawajaolewa wanakejeliwa aisee,halafu wakiwa humu utawasikia kwani ndoa lazima? Kumbe wanaugulia ndani kwa ndani mwee
Wanafurahia kuanza kulala uchi wa mbuzi