Kwanini Wanawake wanachiti kirahisi sana ukilinganisha na Wanaume?

Habari wanajamvi?

Kwanini Mademu walio wengi ni wepesi kutoka na Jamaa mwingine tofauti na mtu wake pale kunapokuwa na sababu zisizo za msingi?

Kwa mfanio, utamkuta Demu ameachika na Jamaa jana, ila Baharia ukaingizia voko kesho yake na mwisho wa siku ukazawadiwa Tunda.

Au unakuta Jamaa amemkwaza (kumtia hasira) kidogo tu Demu wake. Ikatokea jamaa mwingine akaingiza voko zake katika kipindi hiko basi anazawadiwa Tunda.

Au utakuta Jamaa ame mchit Demu, Basi Demu atatafuta hata muuza vocha barabarani ili naye alipize kisasi.

Je ni salama kuwa na wazo la kuoa katika nyakati ambazo unajua mambo yakienda kombo kidogo mwenzako anagawa Tunda ili kukukomoa au kuondoa hasira zake?

Sasa unashangaa nini, kwani hao wanawake nao si wana feelings zao? Nani humu ndani asiyetaka kuto.mbwa anyoshe kidole ama ajipige kidole sasa hivi tumuone.
 
Habari wanajamvi?

Kwanini Mademu walio wengi ni wepesi kutoka na Jamaa mwingine tofauti na mtu wake pale kunapokuwa na sababu zisizo za msingi?

Kwa mfanio, utamkuta Demu ameachika na Jamaa jana, ila Baharia ukaingizia voko kesho yake na mwisho wa siku ukazawadiwa Tunda.

Au unakuta Jamaa amemkwaza (kumtia hasira) kidogo tu Demu wake. Ikatokea jamaa mwingine akaingiza voko zake katika kipindi hiko basi anazawadiwa Tunda.

Au utakuta Jamaa ame mchit Demu, Basi Demu atatafuta hata muuza vocha barabarani ili naye alipize kisasi.

Je ni salama kuwa na wazo la kuoa katika nyakati ambazo unajua mambo yakienda kombo kidogo mwenzako anagawa Tunda ili kukukomoa au kuondoa hasira zake?

Sasa sii ndio vizuri wakiendelea kuwa hivyo maana inakuwa rahisi kula tunda kimasihara.
Mbona wengi tuu nimegegeda kisa jamaa kam heat huko basi kumaliza hasira anakutunuku papuchi. Wanawake na waendelee tuu na hiyo tabia ili wajanja tupate kuenjoy
 
Back
Top Bottom