Hii mada ukiianzisha haitaisha mpaka Yesu arudi.Wanaume wanaumiza sana roho za wanawake walio wengi ... mwanaume atamnyanyasa mwanamke vile tu hajajaliwa mtoto, mwanaume atapenda kuwa na nyumba ndogo kwamba wewe humtoshelezi au umexpire, mwanaume akiamua kuacha mwanamke hatojali kama mwanamke huyo ana mtoto au watoto naye, mwanaume atamwambia mwanamke umezeeka utafikiri yeye anakuwa kijana, mwanaume ni kiumbe hodari wa kunyanyasa mwanamke mentally emotionally na physically. Kwa muhtasari huu ndio maana wanawake au kuna msemo 'wanaume wengi wanafanana' Wanawake wengi wanalia ndani ya mioyo yao kwa wanayopitia majumbani mwao. I dare to say 'Wanaume wengi kama si wote wanafanana baba yao mmoja'
Ndio maana nimetumia 'wanaume wengi kama sio wote' Ni sawa na upande wa wanawake 'Wanawake wengi kama sio wote'Hii mada ukiianzisha haitaisha mpaka Yesu arudi.
Kuna watu wanajua kuchange kama wanawake?? Kuna wanaume wanateswa na wanawake huwezi amini ila tumeumbwa kuvumilia!! Huwa tunaishia kufa mapema
Ndiyo maana sitaki kuiendeleza hii mada ila wanawake ni hatari sana
Muda wowote ukitaka upewe kwa ustaarabuKwann uoe wakat papuch zimejaa?kwan lengo kuu la kuoa ni lipi hasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Papuchi kwasababu papuchi ni mlango wa uhai na uhai unaanzia hapo (mimba inaingia kupitia papuchi na mtoto anazaliwa kupitia papuchi pia) na wengine uhai huishia kwenye papuchi (ugonjwa mfano ukimwi mtu anaupata kupitia papuchi au dushee na kifo kinaanzia safar yake hapo, pia kuna watu wamefia kwenye papuchi kwa presha,kufumaniwa,n.k)
Na mama yao mmojaWanaume wanaumiza sana roho za wanawake walio wengi ... mwanaume atamnyanyasa mwanamke vile tu hajajaliwa mtoto, mwanaume atapenda kuwa na nyumba ndogo kwamba wewe humtoshelezi au umexpire, mwanaume akiamua kuacha mwanamke hatojali kama mwanamke huyo ana mtoto au watoto naye, mwanaume atamwambia mwanamke umezeeka utafikiri yeye anakuwa kijana, mwanaume ni kiumbe hodari wa kunyanyasa mwanamke mentally emotionally na physically. Kwa muhtasari huu ndio maana wanawake au kuna msemo 'wanaume wengi wanafanana' Wanawake wengi wanalia ndani ya mioyo yao kwa wanayopitia majumbani mwao. I dare to say 'Wanaume wengi kama si wote wanafanana baba yao mmoja'
OK.....jamani wote sawa mna vikojoleo
50Wee sema nikutumie ngapi
Wanaume wote ni sawa kwakuwa baba wa nyumba shurti atoke akatafute mkate na ajue kulea familiaUtawasikia wanawake walisema wanaume wote ni sawa wakati mwingine husema Wanaume wote mwalimu wao mmoja.
Kwanini Mnaamini hivyo?
Wanawake naombeni jibu
Kuna Uzi nimeona umesifiwa sana na nazjazWanaume wote ni sawa kwakuwa baba wa nyumba shurti atoke alatafute mkate na ajue kulea familia
mrs BujibujiKuna Uzi nimeona umesifiwa sana na nazjaz
Mwanaume unateswa na mwanamke na unavumilia kwa amekuoa auHii mada ukiianzisha haitaisha mpaka Yesu arudi.
Kuna watu wanajua kuchange kama wanawake?? Kuna wanaume wanateswa na wanawake huwezi amini ila tumeumbwa kuvumilia!! Huwa tunaishia kufa mapema
Ndiyo maana sitaki kuiendeleza hii mada ila wanawake ni hatari sana
Mwanaume unateswa na mwanamke na unavumilia kwa amekuoa au
Unaish kwake wanaofanyiwa hv n wale
Wanaume wanaopenda mteremko