Kwa kweli nimeshajionea wanawake wengi kwenye pombe ni ngumu hata kuwa wanywaji, pombe kidogo tu unakuta tayari ishampanda kichwani kakolea.
Wanawake pombe zikipanda ile nguvu ya maamuzi huwa inapungua sana kuzidi hata wanaume ambao angalau wanaweza kujihandle kimtindo.
Na mfano mzuri ni hata kwenye hizi sherehe za harusi za vibia vya kuhesabika, ikifika muda wa kucheza watajiachia vibaya mno kama vile baikoko, nadhani wengi huwa tunaziona video hizi kwenye kurasa za ma mcee, ila wanaume utaona wapo hali za kawaida tu ngumu hata kujua wamelewa.
Ni kwanini wanawake wana vichwa vyepesi?