Kwanini wanawake wana maambukizi ya HIV kuliko wanaume.

Kwanini wanawake wana maambukizi ya HIV kuliko wanaume.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Naomba kujua tatizo nini maana katika takwimu za hivi karibuni wanawake ni wengi kuliko wanaume.
 
Landa ndio waliokuwa wepesi kujitokeza kupima kwa hiari.
 
Maumbile yao yanasababisha wapate maambukizi kwa haraka zaidi kuliko wanaume, hiyo inaweza kuwa sababu.
 
wanawake ndio wanagegedwa sana....yaani unajimegea tuu mwanawane. demu mmoja unakuta ana wanaume watatu
 
Kwa sababu wao ndio mwanaokwenda kupima ukilinganisha na wanaume wanaoingia mitini wakisikia habari ya kupima maambukizi ya VVU...
 
Virusi vya Ukimwi huweza kupenya kutoka kwa muathirika kwenda kwa mtu mwingine kupitia michupuko midogo midogo inayotokea wakati wa tendo la ngono.
Kwa namna uchi wa mwanamke ulivyo, ni tofauti kidogo na ule wa mwanaume.
Uchi wa mwanamke umeundwa na tishu laini ambazo zikisuguliwa barabara huweza kukwaruzika kwa mikwaruzo midogo sana isiyoonekana kwa macho.
 
kwani maambukizo mpaka mchubuko weye....
 
Back
Top Bottom