Kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi?

Kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi?

Wanawake wasasa…

Jamani kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi ukigombana nae tu anakushafisha vitu vyote na bado anahitaji matuzo ya mtoto, serikali imewakingia kifua wamekuwa na kiburi sana.
Serikali haiwezi kingia kifua mtu katili, ukiona inafanya hivyo ujue wewe ni problematic.Ishi nae kwa AKILI.
 
Kuna wakati fulani mwanamke alipitia manyanyaso na uonevu mkubwa sana kutoka kwa mwanaume na jamii kwa ujumla.
Lakini walivumilia hakuna sehemu walipokuwa wanapeleka kilio chao mpaka nuru ilipowazukia kibao kimegeukia upande wapili kilio kinasikika kila kona.
Mabwege tu ndo kibao kimewageukia wajanja tusha kataa ndoa tunaishi kwa mikataba tu
 
Ukiachana na mke mwenye watoto wako ambao ni wadogo mwache achukue vitu na ikiwezekana ondoka wewe mwachie nyumba. Ila hii haiapply kwa kahaba na uchawi, ni kuachana kwa makosa mengine tu nje ya ukahaba na uchawi.
 
Wanawake wasasa…

Jamani kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi ukigombana nae tu anakushafisha vitu vyote na bado anahitaji matuzo ya mtoto, serikali imewakingia kifua wamekuwa na kiburi sana.
Hadi matunzo ya Mtoto unalalamika sasa unataka nani akutunzie Mtoto wako!??
 
Achana na wanawake mkuu wana kuwa empowered kila angle ya maisha. Hasa na serikali zetu hizi... Imagine

When a Man pays his bills it's normal.
But when a woman pays her bills she is Queen of the jungle, Super woman, Boss lady, independent woman,strong woman,Rich woman, self love, single lady, Akinipenda mama inatosha....[emoji23][emoji23][emoji23]

Yani hizo Tambo atakazo jisifia ni zaidi ya mandonga...

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wanaupiga ushuzi mwingi kweli. Mimi nashangaaga sana watu wanaosema sisi wanaume tupo sawa na wanawake!?
Hatujawahi na wala hatutakuwa sawa that's nature
 
Hao ni wanawake wa uswahilini, ukiwa na mtoto wa kishua hawezi kuiba vitu vyako. Tafuta mtoto wa kishua ule maisha
Uswazi siyo sehemu ya kuoa. Narudia tena: Uswazi siyo sehemu ya kuoa. Wanawake wa uswazi waachieni wanaume wa uswazi. Wanawezana wao kwao. 1. Kuchepuka ni kama kusonga ugali na hawaoni kama ni kosa. 2. Waongo mno. 3.Wadokozi 4. Wanadhamini na husikiliza ma-shost na mashoga zao kuliko waume zao. 5. Wanajaza wageni kwenye nyumba 6. Mambo muhimu kwao ni visherehe, kupigana vijembe kwenye social media na kujipamba kishamba kwa kuiga bila kuzingatia vigezo vya kujipamba. 7. Kuiba waume za watu ni sifa. 8. Mwenye makalio makubwa ndiye mwenye turufu ya kila kitu.
 
Ukitaka usife mapema na uishi na mwanamke vizuri!

Muaminishe vitu vyote mlivyochuma ni VYA watoto na yeye!na wewe upo kuvisimamia tu viwe imara na visiharibike!

Atakuwa kwenye comfort zone!

Hata kulogwa hulogwi!!

Lakini usipomhakikishia hayo atakutafuta hadi sababu ya kuachana au kukueliminate itapatikana!!



KWA sheria zilizopo

Wanaume tunamiliki akili na uume tu na jina litakalorithiwa na Watoto tu!

Wala usijichoshe kula Maisha man!
 
Back
Top Bottom