Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,600
- 171,492
Kopo la kuogea ni la kuogea, ukiondoka beba tuUnaonyesha umasikini wazi wazi kopo la kuogea la nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kopo la kuogea ni la kuogea, ukiondoka beba tuUnaonyesha umasikini wazi wazi kopo la kuogea la nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kopo la kuogea ni la kuogea, ukiondoka beba tu
Tatizo kukojolewa mkuu...yaan hapo tu ndo panatufanya tuonekane tunastahili kuonewa hurumaWhen a Man pays his bills it's normal.
But when a woman pays her bills she is Queen of the jungle, Super woman, Boss lady, independent woman,strong woman,Rich woman, self love, single lady
Sahani za mfupa, miko ya kupikia, kopo la chumvi nakwambia hivi beba....yani akirudi anakuta nyumba ina mwangwi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eve acha izo bas kwaio huna hela ya kununua kopo
Hawa viumbe ni Hatari sanWamekuwa wababe hatari
Na hapo unakuta mtoto anaekufosi umhudumie kumbe sio wako
Hawa watu wana roho ya kikatili sana siku hz
Imagine unakipato cha laki 5 kwa mwezi kwa vile yuko na mtoto wako anataka uwe unampatia laki 3 wewe ubaki na laki 2
Safari ya kikazi (sio bwege bro)Wew nawe bwege ulikuwap mpak unapolwa vitu
😂😂😂Hiyo ndio raha ya kuachana sasa, beba hadi kopo la kuogea, ng'oa vitasa, chomoa bulb nyumba ibaki kama pango......sio unaachana na text eti nakutakia maisha mema, maisha mema ya nini sasa wakati we sio mwema
Sijakuelewa mkuu emu fafanua vizuri yaan kukojolewa kumefanyaje hampendi au inakuaje hapo?Tatizo kukojolewa mkuu...yaan hapo tu ndo panatufanya tuonekane tunastahili kuonewa huruma
FactsHao ni wanawake wa uswahilini, ukiwa na mtoto wa kishua hawezi kuiba vitu vyako. Tafuta mtoto wa kishua ule maisha
Well said .Hao ni wanawake wa uswahilini, ukiwa na mtoto wa kishua hawezi kuiba vitu vyako. Tafuta mtoto wa kishua ule maisha
Safari ya kikazi (sio bwege bro)
Wanawake wote ni mbwa kbs
Kivipi hebu fafanua zaidi, kukojolewa si ndio mnasema ndio utamuTatizo kukojolewa mkuu...yaan hapo tu ndo panatufanya tuonekane tunastahili kuonewa huruma
Limekukuta jambo?Wanawake wasasa…
Jamani kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi ukigombana nae tu anakushafisha vitu vyote na bado anahitaji matuzo ya mtoto, serikali imewakingia kifua wamekuwa na kiburi sana.
🤣🤣🤣🤣Wanawake wote ni mbwa kbs
Wanawake wote ni mbwa kbs