Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Sababu Yesu ni mume wa wao na ndio msaada wakati wa shidaHii nimeiona sana, mabinti au wanawake wengi waliotendwa na wanaume wanapenda sana kusali, na wanasema Mungu yupo, atanisaidia tu hata nisipopata Mume nitaendelea kumwabudu Mungu wangu, wengine husema, Sasa nimemgeukia Mungu wangu na yy ndiye jibu la moyo wangu!
wengine inawabidi waimbe mapambio/kwaya tena kwa sauti kubwa kuliko zile za kawaida zinazoruhusiwa, wengine huwahi ibadani mapema na kukaa viti vya mbele au kati kati.
Hii nimeiona sana, mabinti au wanawake wengi waliotendwa na wanaume wanapenda sana kusali, na wanasema Mungu yupo, atanisaidia tu hata nisipopata Mume nitaendelea kumwabudu Mungu wangu, wengine husema, Sasa nimemgeukia Mungu wangu na yy ndiye jibu la moyo wangu!
wengine inawabidi waimbe mapambio/kwaya tena kwa sauti kubwa kuliko zile za kawaida zinazoruhusiwa, wengine huwahi ibadani mapema na kukaa viti vya mbele au kati kati.
COZ Waliokutana nao mwanzo ni mapepo hawataki kukutana nao tena...ndio wanaona bora wasali ili waepushwe nao
:what:Leading error...
nimekuwacha wapi.?:what:
Umeniwacha kidogo
Hilo nalo ni la kuuliza?Ulivyofanya utafiti wako hapo mwanzoni walikuwaje?