Sawa asantemtu akishakua mke wa watu bwana inakua ngumu kupatikana
kwasababu anakua chini ya mume wake..
analolitaka mume ndo analolifanya..
na ndege wafananao ndio huruka mti mmoja
kashakua mke wa mtu hamfanani tena!
hamwezi kuruka tawi moja!!
Kumbe[emoji15]Si akiingia kwenye ndoa tu.. Automatically iko hivo binadamu hubadilisha marafiki kila anapopiga hatua flani kwenye maisha..
Mfano hata wewe marafiki zako wa Primary hawakuwa marafiki zako ulipokuwa Sekondari.. Huko ulianzisha urafiki na watu wengine wapya, hivyo hivyo ulipoenda High School baadhi ya marafiki wa Secondary uliwapoteza.. Ulivyotoka High School kwenda Chuoni ulianzisha urafiki na watu wengine huko chuoni na wale wa High School taratibu walianza kuwa strangers tena. Na ulipotoka chuo ukapata kazi huko kazini ulipata wengine wapya na wale wa chuoni wengine ulishapotezana nao.. Ndivyo ilivyo hata kwa mwanamke akiingia kwenye ndoa anaenda kukuta ndugu wapya kwenye familia ya mwanaume, marafiki wapya ambao ni marafiki wa huyo mwanaume na ndio hapo anaanza kuuwa urafiki na rafiki zake kabla ya kuolewa.. Tena kama hukuwa workmate wake ndio usahau kabisa..
Shikamoo?? Unataka kuninyima nini we mwanamke..Shikamoo
*stephcurry*mpe hi irving..Si akiingia kwenye ndoa tu.. Automatically iko hivo binadamu hubadilisha marafiki kila anapopiga hatua flani kwenye maisha..
Mfano hata wewe marafiki zako wa Primary hawakuwa marafiki zako ulipokuwa Sekondari.. Huko ulianzisha urafiki na watu wengine wapya, hivyo hivyo ulipoenda High School baadhi ya marafiki wa Secondary uliwapoteza.. Ulivyotoka High School kwenda Chuoni ulianzisha urafiki na watu wengine huko chuoni na wale wa High School taratibu walianza kuwa strangers tena. Na ulipotoka chuo ukapata kazi huko kazini ulipata wengine wapya na wale wa chuoni wengine ulishapotezana nao.. Ndivyo ilivyo hata kwa mwanamke akiingia kwenye ndoa anaenda kukuta ndugu wapya kwenye familia ya mwanaume, marafiki wapya ambao ni marafiki wa huyo mwanaume na ndio hapo anaanza kuuwa urafiki na rafiki zake kabla ya kuolewa.. Tena kama hukuwa workmate wake ndio usahau kabisa..
Mkuu umeniacha mile 10*stephcurry*mpe hi irving..
Nakunyima chocolateShikamoo?? Unataka kuninyima nini we mwanamke..
Umri wako?Kama huamini basi kaa kimya,ila huu ni ukweli ulio wazi kabisa.
Unakuta msichana alikuwa ni rafiki yako mkubwa ambaye mnaishi kama kaka na dada na mnasaidiana kwenye shida na raha.Ila akishaolewa tu basi na urafiki unaishia hapo,hata simu ukipiga hapokei wala sms hajibu as if kabla ya kuolewa hakuwa na watu anaojuana nao kwanini inakuwa hivi?
NB: Simu hapigiwi usiku wala asubuhi sana,maana ni mke wa mtu.
Usipende kufuatilia umri wa mtu mjini hapaUmri wako?
Andiko lako linaonyesha bado kabisa. Niliuliza umri ili nijibu vizuri swali lako. Mfano mtoto WA miaka 4 akiuliza mtoto anapatikanaje Na alokwisha balehe majibu yao si sawaUsipende kufuatilia umri wa mtu mjini hapa
Uchoyo haufaii...Nakunyima chocolate
Ndivyo ilivyoSi akiingia kwenye ndoa tu.. Automatically iko hivo binadamu hubadilisha marafiki kila anapopiga hatua flani kwenye maisha..