Kwanini wanawake ni wepesi wa kusamehe kuliko wanaume?

Kwanini wanawake ni wepesi wa kusamehe kuliko wanaume?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,491
Kiukweli wanawake ni wanaroho nyepesi sana anaweza kukufumania na rafiki au hata dada yake mkifanya mapenzi still atakusamehe na maisha yataendelea. Kwa upande wa sisi wanaume ni hatuwezi kusamehe mwanamke aliyefumaniwa wachache sana wanaweza but percent kubwa hatuwezi.

Wanawake mnaroho gani?
 
Kwa hapa BONGO , Wanasamehee 'Endapo' anakutegemea , ila ukute mwanamke anakipato chake vzuri, anajiamin, mamaeee Utabweka kama mbwaaa na bado atasepa.

Lkn pia anaweza akawa anakipato ila akahofia Utamu unaoumpa ataupata wapi? Nakwasababu wanaishi kwa hisia ,ataanza kujiaminisha kua Mwanaamke ndo kajirahisisha kwako.


Lkn pia Bila kujalisha uchumi , anaweza kukusamehe sababu nayeye Anatombwa nje ila hujui .


Lkn pia anaweza samehe lkn asisahau nahii ikamfanya nayeye kwanza atombwee nje ndo asahau.


Nihitimishe ivi, mwanaume anachepuka sababu ya kutaman kitu kimoja kimoja kwa wanawake tofauti yaaan huyu utapenda Pua, yule mdomo, yule mapaja, yule miguu, n.k....LAKINI mwanamke anataman vitu vingi kwa mwanaume mmoja yaan awe na Kazi, elimu, umbo lakiume ,sura ,kujiamin, romantic , pesa n.k ...... SASA ikitokea wee mwanaume una hivi vyote, basi hata kama atakufuma Atakusamehe na hatolipiza kisasi......

Bi Hilary Clinton na Mumewe +Mchepuko.... alipoulizwa Bi Hilary , alisema "Mwanaume wangu ni Mzuri sana nahivo wanawake wengi wanajirahisisha kwake".
 
Ila hongeren wanawake kwa sababu mna mioyo ya huruma sana

Bila nyinyi kuwepo, Dunia ingekua na mambo ya Ajabu
IMG_20200614_002836_572.jpeg
 
Kwasababu sisi wanawake tunaamini hakuna binadamu mkamilifu kunakukosea kwa bahati mbaya inabidi kusamehe maisha yasonge.

Sasa ninyi wenzetu mnadai hamkoseiogopa sana mtu anaedai yeye hakosei.
 
Kila mtu/binadamu ni MWIZI ni vile tu siku ya kukamatwa haijafika....hii ni kwa sababu wanaume huwa tunaoa mademu za watu na wanawake huolewa na wapenz wa watu...sasa hapo watu lazma kukumbushia mara moja moja refer to the DARWIN THEORY"survival 4 the fittest"#obheja
 
Back
Top Bottom