Kwanini wanawake ni wakatili sana ?

Kwanini wanawake ni wakatili sana ?

Avatar ya kudownload mkuu, ukikutana nae live ndo utajua kua hujui kua bi kidude bado yu hai na yuko JF kwa avatar hyo.
kwa hii comment yako, nadhani hata wewe ni mkatili sana!
 
Ukatili ni moyo wa mtu tu bila kujali jinsia, wanawake wakatili kweli ila kutoka moyoni matukio ya wanaume ni makubwa zaidi,
Mfano una baka mtoto wa mika 8-12 wewe una miaka 30, una mwingilia mwanamke akiwa katika siku zake............ sisi wanaume wakatili saana
 
Ila mwanamke akifanya ukatili anakuwa hana sababu wala chanzo siyo ??

Wanaume hamjawahi kushindwa kujitetea wala kukubali makosa sijui kwanini !!
Wanaume wakatili tupo ila source ya ukatili wetu ni nyie

Kila baya au ovu linalotendwa na mwanaume basi ujue nyuma yake kuna mwanamke mshawishi ambaye ametia mkono kushiriki ubaya huo
 
tuwapende tuu....nguvu ya kipochi manyoya si ya kitoto.....wewe kama huna akili sogea mbali nao......akili kidogo tuu inatosha.......
 
Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa ukatili hauna jinsia mfano yule jamaa wa mwaka jana aliyemuua mke wake na kumzika.

Hivyo tuondoe dhana ya kuhusisha ukatili na jinsia ya mtu bali kilichopo ni tabia ya mtu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wakatili tupo ila source ya ukatili wetu ni nyie

Kila baya au ovu linalotendwa na mwanaume basi ujue nyuma yake kuna mwanamke mshawishi ambaye ametia mkono kushiriki ubaya huo
Na kila ukatili unaofanywa na mwanamke nyuma yake Kuna mwanaume aliyesababisha ukatili huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
for sure, nadhani nikikuta mwanamke anabakwa nitamrushia jamaa buku akanywe pepsi big akitoka "kuwafunza adabu"
kwa hii comment yako, nadhani hata wewe ni mkatili sana!
 
HII IMENIUMA SANA. Ukweli usemwe wazi wanawake ni wakatili hapana mfano chini ya jua.

Hakuna mwanaume hata kama ni mkorofi vipi atamhadaa mwanae ili kumuumiza mama yake mfano wa huyu mama.

Wanaume wamekua wakiumizwa SANA na mfumo uliopo unao mpendelea mwanamke na madawati yao ya jinsia.

Yani hapo angekua ni mwanaume hata kamtia kofi tu mwanamke ungewasikia wanaojiita wanaharakati wanavyojua kurefusha midomo kulalamika na kulaani lakini ona unyama wa hawa binadamu wenzetu dhidi yetu wanaume daaaah.

Na matukio ya kuwasingizia wanaume kesi ni mengi mno na jamii hukimbilia kumsikiliza mwanamke hata kama ushahidi utaonyesha mwanaume hana hatia.

Yani mwanaume apambane na mihangaiko na madhila yote ya kutafuta kwa ajili ya mke na watoto afu mke anamsukia uongo wa namna hii, khaaaa mbona najisikia hasira sana jamani. pole sana mwanaume mwenzangu.

View attachment 1393011View attachment 1393012
Hawa wanaharakati walaaniwe tu pamoja na wanawake wale ambao ni washenzi.

macson
 
"Kuwatetea" kwa kua wao ni "special sana" ??! Au kwa kua "wanamewa sana"??! Je inapotokea kua hawaonewi ila wao wanasingizia, HILO DAWATI LINACHUKUA HATUA GANI ?!! Na kuonyesha jinsi wanawake wana roho mbaya hata hawaguswi pindi matendo yao YA KINYAMA yanawaumiza wanaume.
Ombeni muanzishiwe dawati lenu pia kama unahisi wanawake wanafaidi sana

si wote wako hivyo.,
 
Ombeni muanzishiwe dawati lenu pia kama unahisi wanawake wanafaidi sana

si wote wako hivyo.,
Dawati la jinsia ni lazima wote mimi ndugu yangu mwanaume aliendaga kureport kwa hilo dawati. Wanaume wanaonyanyasika wapo ila wanaona aibu kureport
 
Wanawake wanafanya Mambo kwa hisia,zikimtuma kufanya jambo baya dunia nzima inatikisika,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hawaelewi hili ndo maana leo atakwambia kochi zimeisha kesho atakwambia tujenge fence na wakati huna hela ya kula yeye anarudi na nguo mbili mpya anajaribu mbele yako na anaomba umshauri kama imemkaa vizuri.
kwa kifupi wanawake wengi wanawaza leo na niwazuri sana kutekeleza ajenda za leo kesho haiwahusu
wanawake ni binadamu-lakini wanaume ni watu
 
chanzo hapo hao wanaume wote wawil wametengeneza kinyongo katika roho za wake zao sa hayo ndo matokeo
 
Back
Top Bottom