- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,089
- 10,562
kwa hii comment yako, nadhani hata wewe ni mkatili sana!Avatar ya kudownload mkuu, ukikutana nae live ndo utajua kua hujui kua bi kidude bado yu hai na yuko JF kwa avatar hyo.
kwa hii comment yako, nadhani hata wewe ni mkatili sana!Avatar ya kudownload mkuu, ukikutana nae live ndo utajua kua hujui kua bi kidude bado yu hai na yuko JF kwa avatar hyo.
Wanaume wakatili tupo ila source ya ukatili wetu ni nyieNaona umeamua kufanya mjumuiko..ila Kuna wanaume pia makatili tena Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ujawahi kuniangusha upo sahihiMkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wakatili tupo ila source ya ukatili wetu ni nyie
Kila baya au ovu linalotendwa na mwanaume basi ujue nyuma yake kuna mwanamke mshawishi ambaye ametia mkono kushiriki ubaya huo
Kweli kabisa ukatili hauna jinsia mfano yule jamaa wa mwaka jana aliyemuua mke wake na kumzika.Mkuu, ukatili sio kwa mwanamke tu. Pengine unaweza kutana na mwanaume katili hata zaidi ya shetani.
Katili ni kiumbe yeyote mwenye uwezo wa kufanya kitendo cha kinyama/kikatili
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi naomba unifanyie wepesi mkuu....[emoji23]ujawahi kuniangusha upo sahihi
Na kila ukatili unaofanywa na mwanamke nyuma yake Kuna mwanaume aliyesababisha ukatili huo.Wanaume wakatili tupo ila source ya ukatili wetu ni nyie
Kila baya au ovu linalotendwa na mwanaume basi ujue nyuma yake kuna mwanamke mshawishi ambaye ametia mkono kushiriki ubaya huo
Hawa wanaharakati walaaniwe tu pamoja na wanawake wale ambao ni washenzi.HII IMENIUMA SANA. Ukweli usemwe wazi wanawake ni wakatili hapana mfano chini ya jua.
Hakuna mwanaume hata kama ni mkorofi vipi atamhadaa mwanae ili kumuumiza mama yake mfano wa huyu mama.
Wanaume wamekua wakiumizwa SANA na mfumo uliopo unao mpendelea mwanamke na madawati yao ya jinsia.
Yani hapo angekua ni mwanaume hata kamtia kofi tu mwanamke ungewasikia wanaojiita wanaharakati wanavyojua kurefusha midomo kulalamika na kulaani lakini ona unyama wa hawa binadamu wenzetu dhidi yetu wanaume daaaah.
Na matukio ya kuwasingizia wanaume kesi ni mengi mno na jamii hukimbilia kumsikiliza mwanamke hata kama ushahidi utaonyesha mwanaume hana hatia.
Yani mwanaume apambane na mihangaiko na madhila yote ya kutafuta kwa ajili ya mke na watoto afu mke anamsukia uongo wa namna hii, khaaaa mbona najisikia hasira sana jamani. pole sana mwanaume mwenzangu.
View attachment 1393011View attachment 1393012
Ná huyo mwanamke awe mkeo, mtoto wako au mama yako au hata wewe mwenyewe ubakwe.for sure, nadhani nikikuta mwanamke anabakwa nitamrushia jamaa buku akanywe pepsi big akitoka "kuwafunza adabu"
Amen to that[emoji120]Ná huyo mwanamke awe mkeo, mtoto wako au mama yako au hata wewe mwenyewe ubakwe.
Ombeni muanzishiwe dawati lenu pia kama unahisi wanawake wanafaidi sana"Kuwatetea" kwa kua wao ni "special sana" ??! Au kwa kua "wanamewa sana"??! Je inapotokea kua hawaonewi ila wao wanasingizia, HILO DAWATI LINACHUKUA HATUA GANI ?!! Na kuonyesha jinsi wanawake wana roho mbaya hata hawaguswi pindi matendo yao YA KINYAMA yanawaumiza wanaume.
Dawati la jinsia ni lazima wote mimi ndugu yangu mwanaume aliendaga kureport kwa hilo dawati. Wanaume wanaonyanyasika wapo ila wanaona aibu kureportOmbeni muanzishiwe dawati lenu pia kama unahisi wanawake wanafaidi sana
si wote wako hivyo.,
Wengi hawaelewi hili ndo maana leo atakwambia kochi zimeisha kesho atakwambia tujenge fence na wakati huna hela ya kula yeye anarudi na nguo mbili mpya anajaribu mbele yako na anaomba umshauri kama imemkaa vizuri.Wanawake wanafanya Mambo kwa hisia,zikimtuma kufanya jambo baya dunia nzima inatikisika,
Sent using Jamii Forums mobile app