MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,743
- 39,796
- Thread starter
- #101
Muulize vizuri Dr Mwaka na Haji ManaraHao waweka vibase ni misungo
Hivi mwanaume anatimiza wajibu wake....anakutunza wewe na watoto unamletea kibesi kitatoka wapii....huyo anatunzwa kama yai