Habarini wakuu Nataka kujua kwanini hasa wanawake wanapendelea kuuliza maswali Haya kwa wapenzi wao au watu wa karibu
1.umekula? Ukisema ndio linafuata swali lingine la umekula nini au chakula gani?
2. Umepika? , umepika chakula gani?
Akina dada na wadau wengine nisaidieni maswali Haya yanatarget nini? Ina maana naweza jisahau kula? Au ndio chombeza za kuonyesha unajali au?
Unataka uulizwe nini? Umet....?
hahahahahaha
Nimekumic shost yangu!!!
hunishindi mimi mamii
mzima lakini weye
Mie mzima hofu kwako!