Kwanini wanawake mnaipenda 10,000?

10000wanawake tukiiangalia HUWA inapendeza sana hata wewe ingekua MWANAMKE ungeelewa nini namaanisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji22]
 
Si ndiyo sisi wanaume tunapanga misimbazi tu kwenye wallet zetu nao wanaona,Sasa kila mwanaume aweke buku mbili mbili kwenye wallet yake kila siku, halafu uone Sasa Kama hawatotaka tuwape hizo buku mbili mbili Mana tayari wanakuwa washazoea kuona buku mbili mbili kwenye wallet zetu...
 
shemeji,kwa sisi wanaume kukaa na chenchi ni muhimu ndio mana kila mara tunatoa msimbazi ili chenji ibaki kwenye wallet
kuna muda demu anakuomba buku mbili sa kama una ten ten utaona aibu kumwambia arudishe chenji so unajikuta umemuachia yote
 
shemeji,kwa sisi wanaume kukaa na chenchi ni muhimu ndio mana kila mara tunatoa msimbazi ili chenji ibaki kwenye wallet
kuna muda demu anakuomba buku mbili sa kama una ten ten utaona aibu kumwambia arudishe chenji so unajikuta umemuachia yote
Shem nimeipenda hii mbinu..! Nakukujia halafu, maana nimekuwa kama katapeli walaqhi'..!
 
Buku ten hiyo si ni chipsi kuku! basi vyuma vimekaza.....
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa binadamu kuomba au kutoa fedha ni jambo toka enzi. Na kuombwa hela kwa mwanaume ni ufahari, nina swali kwenu nyie baadhi ya wanawake

Hivi ni kwanini wengi hupenda kuomba au kuhitaji 10,000 mkiwa au akiwa na shida?

Hii pesa ina siri gani?
Mkuu ,siku zote mwanamke huomba kiwango cha pesa kulingana na mwanaume ulivyo.

Akishakupima uwezo wako wa kifedha,,
Kinachofata ni kukuwekea kima cha pesa..

Mwanamke hawezi kukuomba elfu 10 akijuwa uwezo wako ni kutoa 100000 chap.
Lazima akuanzie parefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…