Kwanini wanawake mna tabia hizi?

Viburi. Unafikiri zile ofisi za kwao au familia zao?
 

kuwashona kumbe inasaidia pia, navache itabidi nami siku nitamtafuta boya wangu nimshone hatari,wakinipeleka kati freshi tu itafahamika!
 
Last edited by a moderator:

basi hili janga lipo kwa wabongo wengi aisee bibi.com
 
Last edited by a moderator:
Ni shda acha bora uhudumiwe na mwanaume
 
Mkuu 1st AID nafurahi kukuona tena.

Utakua una impression nzuri ndio maana mkuu.
Hahaha kama wanategemea uwatoe ukakauka huoni huenda UKAWA huwatendei haki mheshimiwa spika.. ooh samahani Mr. 1st AID ?
Hahaha nilijipoteza kidogo nikaamua kuwa mgeni ukiwa UKAWA unajikausha kuwatoa unatimiza ndoto ya UKAWA.
 
basi hili janga lipo kwa wabongo wengi aisee bibi.com

Yaani ni janga kwa kweli may be ni elimu yetu ndio inachangia.imagine kuna hotel nilienda nairobi napigiwa salute from getini tena ni wasichana na wanakukaribisha na tabasamu bashasha. ukija bongo ni majanga matupu
 


Dear hata hujakosea. Si Hospitals , Bank, or anywhere else. My self I am a woman but I never like a woman to serve me . Baadhi yao ni kama limbukeni honestly . Hujifanya wajuaji kumbe nothing they know , wanapendaga kuona MTU anasumbuka ili aonekane yuko juu kumbe hakuna kitu. Some of them are thief especially ukienda Bank, Western Union na any area that inahusika na hela , huwa wanajifanyaga wamesahau kuhesabu kumbe uongo ( sasa mimi huwa nawauliza kwani kuomba ni tatizo? Si useme kama you need some kuliko kubania halafu kupotezea wateja mida yao . Hii ilinikutaga pale Plaza aliniuzi sana yule Dada . Na ukija kazini ndio kabisaa jeuri mtindo mmoja. Nagombana nao kila nyakati kwa kuwakumbusha Professional zao haswa nikiona they play with my Patient's life .Huu ni upuuzi mtupu na kutojitambua ). Namshukuru Mungu hao baadhi ya wanawake wenye tabia hizo hawajaumbwa kama Mungu kwa maana God knows hayo mateso tungeyapata, uwiii. Pole dear . Wasamehe tuu . Thanks..
 
Wasamehe mkuu wanawake wana matatizo mengi.akileta maringo unamuona boss wake anakutatulia shida yako.
 
Yaani mtu hata mgahawa wake mwenyewe anaona taabu kumuhudumia mteja hii nimeiona kwa wagogo dodoma,,nlifika migori hoteli mgahawa mja hivi yani wakat nasubiri chakula huku nimepewa maziwa buree na tabasamu la kutoshaa.
 

Wanaboa kweli ndio maana mm akianza kuongea ovyo simjibu chochote naomdoka tu
 

dah!mimi hiyo ilishanikuta kituo cha polisi kilwa road dsm,yani kaunta nilihudumiwa vizur tu na polisi mwanaume baada ya hapo akanielekeza niende chumba kingine,eh bwana nikakutana na mdada,asee!alianza kuongea na mimi kwa ukali utafikiri nimegombana nae!!asa hakujua na mimi ni fyatu na haka kamfumo nakajua,nikamchana live mbele ya wanawake wenzake halafu nikasepa.Nahisi kule nyuma alikuwa anajiulza haka kajamaa kanajiamini nn?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…