Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Wanawake wengi ndio Wachawi mkuu.Hii mifano ya mtu mmoja mmoja kamwe haiwezi kunishawishi kuamini unachokisema kwamba ni wanawake pekee ndio wenye hizo tabia.
Tabia hizo haziangalii jinsia ya mtu kwa sababu kama ni uchawi hata baadhi wanaume wapo wachawi na kama roho mbaya hata baadhi ya wanaume wanazo roho mbaya.
Mmeshazowea kila siku "mzigo mzito kumpa mnyamwezi"
Kaufanyia kwa house girl , dada yake [emoji125] [emoji125]huu ni utafiti wa wapiiiii
Inawezekana kwakweli dadaKaufanyia kwa house girl , dada yake [emoji125] [emoji125]
Sawa lakini ukumbuke hawawi peke yaoWanawake wengi ndio Wachawi mkuu.
Huwezi elewa haya mambo ikiwa umesoma, ikiwa unamtoto, ikiwa umejaliwa mume, ikiwa unamvuto.Sawa lakini ukumbuke hawawi peke yao
MmhHuwezi elewa haya mambo ikiwa umesoma, ikiwa unamtoto, ikiwa umejaliwa mume, ikiwa unamvuto.
Siku ukikosa hayo Mkuu usishangae kujikuta unapaa angani.
Wamezidi hawa watu. Kila siku ni wanawake tuuu.punguza ukali wa maneno kuna watoto humu
Wanoshindwa kugegeda ni wanaume mkanda nje tu wakati ni nanga tuuuWasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Adam aliambiwa Eva ni msaidizi sasa yeye kihelehele chake na uvivu wakutowajibika kwenye nafasi yake kama ilivyo sasa wanaume msivyo simama kwenye nafasi zenu ndiyo akamtuma Eva badala ya kwenda ndiyo uvivu uliopo dakika 2 tu mtu hayupo anakoroma hiyo ndiyo mpaka wikiHawa alivyokubali kula lile tunda pale kwenye bustani toka kwa yule ibilisi ndio akaharibu kila kitu na ndio matokeo yake haya.
Wanakuwa na wanaume na sababu ya mwanamke nikuwa jasiri ndiyo maana wanakuwa viongozi wa uchawiSawa lakini ukumbuke hawawi peke yao
Umenena neno bora la miaka[emoji122] [emoji122]amejisemea emmyta ....wamezoea mzigo mzito mpe mnyamwezi..
watu wanajibakia watoto wa kuwazaa wenyewe tunasikia kila siku...imefika mahali wanawake wanaogopa kuwaacha watoto na baba zao.
dunia hii mwanamke akikosea mshenzi..mwanaume akikosea bahati mbaya..
Ndugu JF,
Kiukweli bila kupindisha ukweli, mimi huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya wanawake.
Kumbuka si wote ila wengi wao.
1.Kwanini wanawake wengi hujihusisha na uchawi,
kwa mfano; house girls wengi wa visa na matukio mengi ya kishirikina.
Mfano mwingine hata mitaani tetesi za wachawi wengi ni mabibi sana.
2.Kwanini wanawake wengi wana roho mbaya.
kwa mfano dada yangu mmoja yeye hata jirani anapohitaji msaada kutoka kwetu, lazima tu dada ajiongeleshe negatively eti "kwani hapa tu ndo ameona"
3.Chuki moyoni.
Yaani wanawake wengi tu wamebeba chuki hata ya kitu kidogo,
mfano watoto wanapogombana wao kwa wao mama zao hutunza chuki isiyo kifani.
4.Kujidharau
Haina ubishi!
Wanawake hujidharau sana, mfano: Mwananume akifanya upuuzi, wanawake wanasikika wakisema yaani "mwanaume unafanya vitu kama mwanamke?
Sasa huwa najiuliza kwanini kwao?
si mtu mmoja mmoja !
hata wanaume wapo ila fanya tafiti ndogo hata eneo ulilopo asilimia kubwa wanawake ndo wabaya