THEGENTLEMAN1996
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 518
- 590
si mtu mmoja mmoja !Hii mifano ya mtu mmoja mmoja kamwe haiwezi kunishawishi kuamini unachokisema kwamba ni wanawake pekee ndio wenye hizo tabia.
Tabia hizo haziangalii jinsia ya mtu kwa sababu kama ni uchawi hata baadhi wanaume wapo wachawi na kama roho mbaya hata baadhi ya wanaume wanazo roho mbaya.
Mmeshazowea kila siku "mzigo mzito kumpa mnyamwezi"
Duh!wanawake ndio wana roho mbaya?....wanaoua watu huko kibiti ni wanawake pia?
waliopiga mwanafunzi kule mbeya video ikasambaa walikuwa wanawake? wanaokata viungo vya albino ni wanawake pia?
hebu rudi kafanye research upya!! usituharibie funga zetu.....shubaaamiti
Lakini asilimia kubwa ya majambazi ni wanaume, na wanawake ni wachache sana.si mtu mmoja mmoja !
hata wanaume wapo ila fanya tafiti ndogo hata eneo ulilopo asilimia kubwa wanawake ndo wabaya
Asilimia sio tatizo. Ukweli ni kwamba kila jinsia ina hizo shida.si mtu mmoja mmoja !
hata wanaume wapo ila fanya tafiti ndogo hata eneo ulilopo asilimia kubwa wanawake ndo wabaya
Nyoosha tu mdogo wanguNgoja ninyoshe goti kwanza
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.wanawake ndio wana roho mbaya?....wanaoua watu huko kibiti ni wanawake pia?
waliopiga mwanafunzi kule mbeya video ikasambaa walikuwa wanawake? wanaokata viungo vya albino ni wanawake pia?
waliombaka dada wa watu kinyume na maumbile tena huku wakichukua video kule morogoro walikuwa wanawake?
hebu rudi kafanye research upya!! usituharibie funga zetu.....shubaaamiti
Wameshazowea huwa hatukatai tafiti zao ndio mana wanaona kila jambo watuangushie. Kwa hili halina jinsia wakubali wakatae.Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
amejisemea emmyta ....wamezoea mzigo mzito mpe mnyamwezi..Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.
Mijambazi ni midume
Mibakaji midume
Mifisadi midume
Wauaji wengi midume
Wabahili midume
Wanaotelekeza familia midume
Wafiraji wanaume. Hebu mtupishe huko..
.
.
Mshana jr ni mchawi (mshana hapa natania tu jamani)..ni mwanaume
Wasituharibie siku. Kila kitu wanawake tu.