kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
Mimi nitakueleza kisomi zaidi nikiwa kama mtaalam...Mwanamke ameumbwa na uchafu mwingi mwilini ndio maana ata kila mwezi anaenda period au kinyesi chake kina harufu kali sana...Sasa huu uchafu kwenye mwili unakaribisha wadudu wabaya kujificha mwilini ndio maana wanawake wengi ndio uwa na majini au mapepo...Viumbe vichafu vinavyojificha ndani yake ndio vinamfanya mwanamke kuwa na roho mbaya na kutokkuwa na upendo kwa watu haswa wenzake kama mawifi,majirani nk nk.
Hili ni swala la kitaalam ukitaka ntakuchimbulia zaidi.
Ukweli hatupendani. Mie Hata kwenye daladala nikikaa na mwanamke mwenzangu nachukia.
Ukweli hatupendani. Mie Hata kwenye daladala nikikaa na mwanamke mwenzangu nachukia.
Ukweli hatupendani. Mie Hata kwenye daladala nikikaa na mwanamke mwenzangu nachukia.
Nafikiri ndio mlivyo nakumbuka siku moja nilikuwa na my mother town tukaingia restaurant kupata msos akaja dada mhudumu chaa ajabu mama akaanza kumsema eti anajisikia sana tuondoke nilishangaa sana.hii inatokea wapi hii chuki ? juzi kati nilikuwa nafatilia kitu flan kwenye taasisi ya uma huyo afisa wa kike niliemkufa alinikatishaje tamaa bahati kuna afisa wa kiume nikamfata akanielekeza vizuri na nikafanikiwa siku hiyo hiyo
aslimia kubwa ya wanawake hawapendi kwa sababu ya wivu na tamaa ktk maisha akifanikiwa mmoja wengine huweka chuki kwa mwenzao
sisi ndio wanawake bana yani gubu za kidwanzi tu sijui roho hizi lakini mungu anatusaidia tunavuka yote duuu sijui ni nini aiseee usiombe ukutane na mtu wa dizaini hii hata mama yako atamuchukia lazima ukae