mie nilishaweka ila sijapata hadi leo. mnatuvunja nguvu mjue.
cha kuweka tangazo
ukionana na mtu ni babu yako mzaa baba inahusuu!!
tunatafutwa hatutafuti bana!!
cha kuweka tangazo
ukionana na mtu ni babu yako mzaa baba inahusuu!!
tunatafutwa hatutafuti bana!!
​cheedi Eli79!Hahaaa...haya we! basi ntakutafuta..teh!
Unaelewa ulichoandika lakini...
hebu tafasiri basikhaaaa kwani we hujaelewa!!
​hewala nasubiri hiyo siku ya kona teh teh!!Mimi tena.... nimesema ntakutafuta afu umekubali, asa siku ukiniona kona usinikimbie..teeh!
​hewala nasubiri hiyo siku ya kona teh teh!!
haha... ila nataka unito.ngoze khaaa....mda mrefu sijawa na bahati iyo..mpaka nataka nikaoge maji ya hindi bana!!