Kwanini wanawake hawaoti VIPARA kama wanaume?

Kwanini wanawake hawaoti VIPARA kama wanaume?

Mwanamke kuwa na kipara ni abnormality, kuna genes(vinasaba) vinavyopelekea kuwa na vipara hii ndio sababu hata wanaume si wote wanakuwa na vipara ktk umri wowote kwa sababu tunatofautiana ktk genotypes zetu.

Kwa mwanamke si kawaida kuota kipara(baldness) kwa sababu vinasaba vya kipara ni kwa wanaume tu, kitaalamu tunaviita "sex linked genes" yaani viko located kwenye X chromosome, hivyo basi, kwa wanawake "baldness its a recessive trait"

Mkuu aliyezungumzia suala la hormone pia inachangia japo si directly kwani influence ya hormone za kiume hormones(androgens) inategemea sana genetic make up ya mtu.

Kutokana na kwamba hii hali ya kipara inasababishwa na hormone za kiume(androgens) kwa kutegemea personal genotype, hii hali ya kipara tunaiita kitaalamu "androgenetic alopecia"
Mimi ndugu zangu upande wa mama ukikuta ana ndevu au kipara...lazima apate kimoja wapo na ni wanawake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rooney
images.jpg
 
Sex linked character,
Kitabu cha biological science kinasema chromosomes za mwanamke haziwezi kubeba genes za kipala(baldnes) kwa sababu mwanamke ana XX mwanaume ana XY,

Genes za kipara hubebwa katika chromosome Y
Kuna wanawake wenye vipara mkuu (wachache ) ambayo inakua categorized kama Mutation
 
Back
Top Bottom