Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,931
Kazi kweli
Je kuna dawa ya kipala, kama IPO naomba uiandikeHormone aina ya DHT ndo huwa inafanya nywele kuwa shorter and thinner, ambayo ndo inapelekea watu kuota vipara.
Na hii hormone inakuwa produced kutokana na enzymes mwilini kuconvert testosterone kuwa DHT(Dihydrotestosterone).
So kwavile wanawake wana low levels of testosterone kuliko wanaume, ndo maana effect zake hazionekani.
Wayne Rooney,Yule mchezaji Wa man u anaitwaga Nani sijui ameondosha kipara kichwani kwake sijui kafanyaje
Huu ni zaidi ya ujinga kwa sababu umeshindwa ku-grasp knowledge umeshika dosari ya lugha, hivi saivi ukikuta sehemu kuna mgogoro juu ya hili jambo unakumbuka majibu au utakumbuka "kipara kinaota" yaani makosa ya lugha?Kumbe kipara kinaota!
Ss sijui nywele zinafanyaje.....
Knowledge ya kuota kipara au kuota nywele chief?Huu ni zaidi ya ujinga kwa sababu umeshindwa ku-grasp knowledge umeshika dosari ya lugha, hivi saivi ukikuta sehemu kuna mgogoro juu ya hili jambo unakumbuka majibu au utakumbuka "kipara kinaota" yaani makosa ya lugha?
Hormone aina ya DHT ndo huwa inafanya nywele kuwa shorter and thinner, ambayo ndo inapelekea watu kuota vipara.
Na hii hormone inakuwa produced kutokana na enzymes mwilini kuconvert testosterone kuwa DHT(Dihydrotestosterone).
Obviously not, genetic makeup ndo itadetermine."So kwavile wanawake wana low levels of testosterone kuliko wanaume, ndo maana effect zake hazionekani"
But ondoa maswali kwa sababu kwa maelezo yako hayo niloyanukuu hapo juu wanaume wasio na vipara ktk maisha yao yote basi wana "low levels of testosterone"
We form six/five unadanganya watu eeh, unahakika na unachokisema?Sex linked character,
Kitabu cha biological science kinasema chromosomes za mwanamke haziwezi kubeba genes za kipala(baldnes) kwa sababu mwanamke ana XX mwanaume ana XY,
Genes za kipara hubebwa katika chromosome Y
Mkuu watu tunakumbuka vya zamani,We form six/five unadanganya watu eeh, unahakika na unachokisema?
Wewe kama ni daktari au muuguzi kwa haya maelezo yako utakuja kuua wagonjwa"So kwavile wanawake wana low levels of testosterone kuliko wanaume, ndo maana effect zake hazionekani"
But ondoa maswali kwa sababu kwa maelezo yako hayo niloyanukuu hapo juu wanaume wasio na vipara ktk maisha yao yote basi wana "low levels of testosterone"
Kama sijakuelewa hivi, unamaanisha unaweza kufaulu bila kuelewa?Mkuu watu tunakumbuka vya zamani,
Sababu tulvipenda tulivyokuwa tunavisoma,
Ndio maana tunaelewa vitu vingi,
Tatizo lenu mlikuwa mnasoma kufaulu na sio kuelewa
Acha siasa , usipende kupinga kitu kama hauna ushahidiKama sijakuelewa hivi, unamaanisha unaweza kufaulu bila kuelewa?
Halafu navyoijua BS haijawahi andika uongo thats why its approved as A- level biology reference material, so, kama ulisoma zamani utakuwa umesahau uliyoyasoma
Search for truthAcha siasa , usipende kupinga kitu kama hauna ushahidi
Kimerudi upyaaaaaaaa....😀Yule mchezaji Wa man u anaitwaga Nani sijui ameondosha kipara kichwani kwake sijui kafanyaje