Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Sijawahi pata kajibu kazuri kuhusu hili swali. Naombeni msaada.
Homoni zipi mkuuUtofauti wa homoni za kike na kiume ndo unasababisha kuota vipara kwa wanaume
Yule mchezaji Wa man u anaitwaga Nani sijui ameondosha kipara kichwani kwake sijui kafanyajeJe kuna njia naturally ya kuzuia kipara au kurudisha nywele zaidi ya hair transplant?????
Yule Rooney alifanya hair transplantYule mchezaji Wa man u anaitwaga Nani sijui ameondosha kipara kichwani kwake sijui kafanyaje
Eeehhh Rooney huyo huyoYule Rooney alifanya hair transplant
Ulivyomfikiria Rooney [emoji3] [emoji3]Yule mchezaji Wa man u anaitwaga Nani sijui ameondosha kipara kichwani kwake sijui kafanyaje
Yaani.[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ulivyomfikiria Rooney [emoji3] [emoji3]
Kiswahili kinani-confuse sana thats why unaweza kuona even ktk majibu yangu kunasehemu nimeshindwa ingiza swahiliKipara kinaota?