Kwanini wanawake hawaelewekagi?

Kwanini wanawake hawaelewekagi?

Basi ngoja nikupe hapahapa au siyo,ningependa nikuone eneo lolote ulipendalo halafu tuanzie hapo au unaonaje?.Haya sasa taja VENUE nitakutumia dereva akuijie na akulete venue halafu kukurudisha mimi mwenyewe au unasemaje?
Jua lishazama pumzika ntakutongoza mie kesho usihangaike dear
 
Jua lishazama pumzika ntakutongoza mie kesho usihangaike dear
Anyway mzee wangu amekasirika saa hizi mbaya za manane kwa hiyo sasa hivi nakuvutia hisia huku nikimliwaza mzee kama vile umeniachia uwanja nicheze nitakavyo na mimi ndio navuta picha ya video kama vile tunajenga daraja la mto Maragarasi halafu maji yanamwagika chini ya MADARAJA TUNAYOJENGA SASA HIVI NA ASUBUHI MAJI YATAKUA YAMEKAUKA AU VIPI?
 
Basi ngoja nikupe hapahapa au siyo,ningependa nikuone eneo lolote ulipendalo halafu tuanzie hapo au unaonaje?.Haya sasa taja VENUE nitakutumia dereva akuijie na akulete venue halafu kukurudisha mimi mwenyewe au unasemaje?

Hapo hachomoki mkuu.
 
Nyie pia hamueleweki.... Angekubali haraka ungesema maharage ya Mbeya lol
 
Back
Top Bottom