Habari wanajamvi?
Wanaume wamekuwa wepesi sana kutoa wakiombwa na wanawake, kuna ambao hutoa pesa, magari nyumba nk, kwa kadiri ya uwezo wa mtoaji. Ila wanawake wao wako tofauti sana, ukimuomba mwanamke hela au chochote kile tofauti na uroda ni ngumu sana kukupa. Sasa sijui hawa wanawake wana roho mbaya, wabahili au wachumi?
Kinachonisikitisha zaidi sisi wanaume ambao tunatoa bila kinyongo tunapewa majina mabaya, mfano KIBUZI, ATM, mgodi nk, hili jina la kibuzi linaniuzi sana mi na madevu yangu halafu uniite kibuzi, kwanza kibuzi kinaweza kuwa cha kike. Mi naona bora hata mtuite beberu lina hadhi kidogo sio kibuzi. Ikitoka mwanamke amekupa elf 10 basi jiandae baada ya siku tatu kuomwbwa laki 1.
Nyinyi wanawake kwanini hampendi na sisi tuwachune?

kama mwanamke TASAMkuu hata vitabu vya dini vinasema mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu. Sasa wewe naona unataka uchukue nafasi ya mwanamke?Fanya kazi uhonge acha kulialia. Wanaume wanaohongwa ni wale washoga ila mwanaume rijali anatafuta na hategemei kuhongwa.
Kama wataka Nawe uwe mchunaji kunywa maji mengiHabari wanajamvi?
Wanaume wamekuwa wepesi sana kutoa wakiombwa na wanawake, kuna ambao hutoa pesa, magari nyumba nk, kwa kadiri ya uwezo wa mtoaji. Ila wanawake wao wako tofauti sana, ukimuomba mwanamke hela au chochote kile tofauti na uroda ni ngumu sana kukupa. Sasa sijui hawa wanawake wana roho mbaya, wabahili au wachumi?
Kinachonisikitisha zaidi sisi wanaume ambao tunatoa bila kinyongo tunapewa majina mabaya, mfano KIBUZI, ATM, mgodi nk, hili jina la kibuzi linaniuzi sana mi na madevu yangu halafu uniite kibuzi, kwanza kibuzi kinaweza kuwa cha kike. Mi naona bora hata mtuite beberu lina hadhi kidogo sio kibuzi. Ikitoka mwanamke amekupa elf 10 basi jiandae baada ya siku tatu kuomwbwa laki 1.
Nyinyi wanawake kwanini hampendi na sisi tuwachune?
Ni haki kwake. Pia usisahau kujiuliza kwa nini wanaume mnaoa na hamuolewi.Eee ila na mwanamke 😀😀😀😀
Kama wewe unavyoanzaUnaanzanje kwanza kunichuna kwa mfano?
Itabidi na ss tuwakopesheNikikupa ela yang ujue nmewekeza, jiandae kuilipa tena kwa riba![]()
Wewe mchoyo..alafu mbahili...tena una roho mbayaThubutu! Nikikupa hela yangu utairudisha tu
Kawaida tu emmyta..usawa wa kijinsiaMakubwaa! Mwanaume wataka kuhongwa.
Mmmhhh! Wacheni kukwepa majukumuKawaida tu emmyta..usawa wa kijinsia

Wa hivyo ni kumi kwa mmojaUnawoza ukatoa tu mahali halafu mi nakuja kuoa