Habari wanajamvi?
Wanaume wamekuwa wepesi sana kutoa wakiombwa na wanawake, kuna ambao hutoa pesa, magari nyumba nk, kwa kadiri ya uwezo wa mtoaji. Ila wanawake wao wako tofauti sana, ukimuomba mwanamke hela au chochote kile tofauti na uroda ni ngumu sana kukupa. Sasa sijui hawa wanawake wana roho mbaya, wabahili au wachumi?
Kinachonisikitisha zaidi sisi wanaume ambao tunatoa bila kinyongo tunapewa majina mabaya, mfano KIBUZI, ATM, mgodi nk, hili jina la kibuzi linaniuzi sana mi na madevu yangu halafu uniite kibuzi, kwanza kibuzi kinaweza kuwa cha kike. Mi naona bora hata mtuite beberu lina hadhi kidogo sio kibuzi. Ikitoka mwanamke amekupa elf 10 basi jiandae baada ya siku tatu kuomwbwa laki 1.
Nyinyi wanawake kwanini hampendi na sisi tuwachune?