Kwanini wanawake hamtaki kuchunwa?

Kwanini wanawake hamtaki kuchunwa?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,765
Habari wanajamvi?

Wanaume wamekuwa wepesi sana kutoa wakiombwa na wanawake, kuna ambao hutoa pesa, magari nyumba nk, kwa kadiri ya uwezo wa mtoaji. Ila wanawake wao wako tofauti sana, ukimuomba mwanamke hela au chochote kile tofauti na uroda ni ngumu sana kukupa. Sasa sijui hawa wanawake wana roho mbaya, wabahili au wachumi?

Kinachonisikitisha zaidi sisi wanaume ambao tunatoa bila kinyongo tunapewa majina mabaya, mfano KIBUZI, ATM, mgodi nk, hili jina la kibuzi linaniuzi sana mi na madevu yangu halafu uniite kibuzi, kwanza kibuzi kinaweza kuwa cha kike. Mi naona bora hata mtuite beberu lina hadhi kidogo sio kibuzi. Ikitoka mwanamke amekupa elf 10 basi jiandae baada ya siku tatu kuomwbwa laki 1.

Nyinyi wanawake kwanini hampendi na sisi tuwachune?
 
Mkuu hata vitabu vya dini vinasema mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu. Sasa wewe naona unataka uchukue nafasi ya mwanamke?Fanya kazi uhonge acha kulialia. Wanaume wanaohongwa ni wale washoga ila mwanaume rijali anatafuta na hategemei kuhongwa.
 
Kwa hiyo mkuu unataka haki sawa na mwanamke??
Utaweza?
 
Kwa hiyo mkuu unataka haki sawa na mwanamke??
Utaweza?
Ni hii yakutuita mbuzi inauma sana, yaani meee, mi natakan nanyi tuwachune ili muone uchungu wa kuitwa mbuzi
 
mkuu wanaweza kukujibu sa hv na wewe nenda ukazae kwa uchungu bora tuache tu nature ichukua nafasi yake
 
Mimi mbona Nina jimama linanilea yani nalipuna kweli hela
 
Ni Kusaidiana kwenye kila jambo, ila kuna wanaume ambao nao wako vizuri kushibaa, sasa ujaribu na wewe kumchuna ndo mapenzi yanaishia hapo
 
Hawa viumbe wagumu balaa, mnaweza mkawa mmepata boom wote kwa wakati mmoja. Ila bado tu atakumba pesa ya saloon, vocha, mtoko, na ya kununulia nguo flani toleo jipya.
 
Heeee hawa wanaume wanaotaka kuhongwa ili iweje?Ukijigeuza samaki utavuliwa. Mimi naendelea na uvuvi wangu. Nikimpenda binti lazima nimgharamikie.
Ndo nashangaa wanataka kugeuzwa
 
Back
Top Bottom