Km ni ivo inakubidi wewe ubebe msalaba! ujue kuwa Binadamu hatufanani kabisaaa! unaweza kuta wewe unanuka mdomo, kikwapa huogi ukatakata lkn mbona anakuvumilia??Sijui umesoma nilichoandika ama umeishia kusoma kichwa cha habari tu? Kama hukuelewa, sikuwa na maana ya wanawake wote hawana huruma bali wale wenye tabia hizo nilizozitaja.
Halafu hili jamaa bana si umwambie/fundisheee tatizo liko wapi??...basi mlete huku kwa kaka yangu apate kozi orozesha maatizo yako yoote! lkn unalipia!wanawake hawawezi kubajeti kabisa hasa kipimo cha chakula. Unakuta mchana wanapika ugali mkubwa hadi jioni unatoka kazini unakuta hotpot limejaa ugali na mboga kibao
Tatizo lako unam sema km Polisi!......fanya kwa vitendo pima msosi wasiku wewe! kwa upendo! na bashasha inaonekana huna kauli nzuri, .....kufoka foka!! kununa nuna!! biala sababu!Kama kusema nilishasema sana sasa hivi naumia tu maana ukizidi kuongea hawachelewi,
Acha wenge wewe mwanamkeKama una stoo hifadhi chakula humo funga na funguo, uwe unampimia kila siku asubuhi.
Michele nusu
Mafuta robo kikombe
Chumvi kijiko kimoja..n.k
Huwajui unawajua?Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, juzi nimeagizwa kuku wa KFC,baada ya kumpelekea akala kidogo tu then akaniambia anahamu na ugali[emoji1787]
Wewe ndiyo unatakiwa asikuelewe , yaani wewe ukiwa humweliwi atakutesa shwainAnanipa wakati mgumu sana kwasasa[emoji16]..simuelewi anataka nini.
Aisee naomba nikuchumbieEnzi za ukuaji Nilikuwa napika chakula kingi mama anaongea sana kwa uchungu,
Nikiona nimepika kingi na mama asikione napunguza kwa kumwaga,
Nilikuwa sizimi taa zinawaka kutwa au baba azime anavyotoka,,,,nipo nje Tv ipo on na hakuna anaeangalia,,,,,,,,,,,lkn sasa tokea baba atoweke na nikajua kununua umeme[emoji16][emoji16]
Lkn sasa kila kitu napika kwa kipimo na nikijua ni kingi namfuata jirani aje agawe kabwa hakijatushinda, na bora kiwe kidogo asiyeshiba ashushie na maji,
Sasa nilivyojua uchungu wa pesa aisee nakuwa mkali hasa kwenye uharibifu wa chakula,,,,,,,,,,,home tupo watatu juzi nimesonga ugali usiku na mboga tamu ugali ulikuwa kidogo tu maana nilijua ugali usiku haupandi,,,,,,tulikula na ukawa mdogo maza akawaka kwanini napika ugali kama unga wa kununua[emoji23][emoji23]
"TUHESHIMUNIi VYAKULA"
"maana kuna wale waliokulia vijijini wanajua kuwa kupika wali mwingi na kuumwaga ndiyo kayapatia maisha,"
SIPENDI MTU ANAEMWAGA/KUCHEZEA CHAKULA, KUNA WATU WATU MITAANI WANATESEKA NA NJAA,