Wanaume wa sasa hawana pesa za mahali.... Wako na pesa za kwenda kidimbwi...... Kwa hyo ukitaka kuolewa nenda ishi nae sogea tukaeMbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Bahati mbaya kadri unavyosubiri hali ndo inazidi kua tight . Fanya maamuziSiku hizi unaoa ili upate nini?
Kama ni mbususu zipo za kumwaga.
Kama ni mtoto unaweza kumpata hata bila kuoa.
Mapenzi menyewe yamegeuka na kuwa biashara.
Na ukijichanganya ukaoa hawa wasomi uchwara hawa wanaharakati ndo umekwisha kabisa.
Ni lazima kupiga mahesabu sana aisee vinginevyo ndoa siku hizi ni liability kubwa inayoweza kugharimu maisha yako....
View attachment 2181078
Changamoto ni exposure. Unazani chance ya kukuta na mtu wa nje ni kubwa ? Mtanzania anapaswa kuolewa na mtanzania mwenzake .Kiukweli wanaume wapo wadada msidanganyike.
Sio lazima muolewe na watanzania.
Ndio maana Mungu aliumba dunia na inapembe 4 za dunia
So wasiwatibue ...........
Kweli .....
Kama hakuna tz kuna east africa , kuna south Africa, kuna north africa , west africa, kuna america , kuna canada nchi zipo nyingi nawao wana south , east , west , north zote hizo lazima upate wako
Ni kweli hawana, maadili halisi ya kiafrika ni maadili bora zaidi.Mama zetu walilelewa ktk mfumo wa do or die lakini dumu kwenye ndoa yako.
Pia walifundishwa jinsi wa kumliwaza mwanaume.
Leo ni mabinti wangapi wanapelekwa hata unyagoni kufundishwa Mila na desturi za mtoto wa kike?
Wanawake wa Leo hata aibu usoni hawana.
Hongera mzee! Umeongea kwa kwa hekma na busara.Waoe kwa uchumi gani walionao vijana, acheni kuwaongezea stress juu ya zile walizokuwa nazo.
Just think, tangu 2014 hakuna ajira za moja kwa moja toka serikalini, private sector nayo inapumulia mirija. Kijana aliyemaliza chuo 2014 akiwa 21-22, leo ungetegemea awe ametulia kiuchumi na kuanza kufikiria ndoa...
..lakini bado yupo kitaa hajui aanze vipi, waacheni vijana aisee!!
😂Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Sio kweli.Wanaume wa sasa hawana pesa za mahali.... Wako na pesa za kwenda kidimbwi...... Kwa hyo ukitaka kuolewa nenda ishi nae sogea tukae
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
KweliVyote vinapatikana bila kuoa, so demand ya kuoa imepungua.
😂😂Pursuit of happiness ukimwangalia mwamba anavyopitia magumu ukamfeel vizuri unaweza mwaga chozi la kiumeLiberty and pursuit of happiness sahau ukijitwika minyororo ya to love ,to cherish and to hold until death do us apart 🙂 🙂
Uo ukweli ndo uusemeSio kweli.
Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Wanawake wakisema hawaoni wa kuwaoa, haimaanishi wanaume hawataki kuoa! Bali vigezo walivyojiwekea wanawake, hawavioni kwa wanaume wanaowatokea.Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukueni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma single mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke hapo hapo hivyo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
🤣🤣🤣🤣 Siku hizi hadi tope kwa buku 20 unapataWanadai nyapu za bure/ bei chee zimejaa tele hata wakijitia watoto wakuzaa nao bila ndoa wapo pia!
Wala usiwe na haraka mwana....very soon wanawake wataanza kuomba kuwa wake wa pili.....gud times are cominginasikitisha sana!
halafu kwa bahati mbaya awe thate plus
Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa
Habari wanajamvi, Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus! Thate plus ni mwanamke wa aina gani? Mwanamke kuanzia miaka thelathini na kuendelea, ingawa wanaume wengi huwahesabia...www.jamiiforums.com
Lakini kama watakuwa tayari kujigharamikia mahitaji yao binafsi, tutaoa hata kumi kumi, kikubwa si jina tu na kuchakata mbususu zao?