ASio wote mkuu, kuna kina sie tunahitaji wa kuwaoa, ila mamanzi wengi wanaanza uliza
Unafanya kazi gani???
Mshahara wako shi ngapi???
Umejenga???
Sasa anakuta mwamba una ka-subwoofer, kitanda,taulo na ndala za kuogea ,anachora , anataka mtu mwenye Benz au V8.
Eee Mungu walainishe mioyo hawa wadada wakubaliane na hali zetu...
AmenSio wote mkuu, kuna kina sie tunahitaji wa kuwaoa, ila mamanzi wengi wanaanza uliza
Unafanya kazi gani???
Mshahara wako shi ngapi???
Umejenga???
Sasa anakuta mwamba una ka-subwoofer, kitanda,taulo na ndala za kuogea ,anachora , anataka mtu mwenye Benz au V8.
Eee Mungu walainishe mioyo hawa wadada wakubaliane na hali zetu...
Eeh legezeni vigezo na masharti jamani warembo....mnakuwa kama mabenki vile pale unapoenda kuomba mkopoA
Amen
Kina Nani hao wana kaza hivyo? ..Eeh legezeni vigezo na masharti jamani warembo....mnakuwa kama mabenki vile pale unapoenda kuomba mkopo
Sii wewe huyo na genge lako la wanawake wa jf🤣🤣🤣🤣Kina Nani hao wana kaza hivyo? ..
😂😂😂😂 Labda hao mimi akuuSii wewe huyo na genge lako la wanawake wa jf🤣🤣🤣🤣
Hakuna wamba wameku-approach ulivo wafanyia tathimini ukawapiga vya mbavu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Labda hao mimi akuu
Hapana Kwakweli🙄Hakuna wamba wameku-approach ulivo wafanyia tathimini ukawapiga vya mbavu???
Bisi njoo tuyajenge😂😂😂😂 Labda hao mimi akuu
Karibu 😂😂Bisi njoo tuyajenge
Usijali mkuu baada ya miaka kumi wataanza kututafuta wenyewe...ilishatabiriwa bado wao kutimiza maandiko tuuHela imeharibu sana maana ya ndoa, mademu wengi dream zao zipo kwenye mifuko ya wanaume na ndio maana wengine wanadanga mpaka kwenye ndoa, yaani mume anakuwa danga na si MWENZI wa maisha.
Hapo bado kuna wale wa 50/50 hawa ndio wanakutoa pumu ukiwaoa.
Hamna mtihani mgumu kwa mwanaume kama kupata mke mwema, huwaga naulizwa "utaoa lini " Jibu sina sababu najua vimeo ninavyokutana navyo ni full vichomi.
Huu utafiti wako unaweza kuwa kweli ktk kampuni tatu nilizofanya katika kitengo nilivyokuwa navifanyia kazi 70% hawajaoa na sidhani kama wana mpango japo wapo walio na watoto.
Mungu anakuonaHapana Kwakweli[emoji849]
😂😂😂HakiiiiMungu anakuona
Hivi wasioolewa hawazai?Mama zetu wasingeolewa tusingezaliwa mkuu.
Wanazaa kwa uzinzi...Hivi wasioolewa hawazai?
Nakazia. Ndoa siku hizi ni death threat.vinginevyo ndoa siku hizi ni liability kubwa
Kweli, mama zetu na bibi zetu tu angalau walikuwa ma super woman.Kuoa ni Sawa na kufuga chatu ambaye hata hujuwi utamlisha nini.
Kuna siku njaa itamzidi na atakumeza wewe unayemfuga .
Mwanamke ni mdudu mbaya Sana hapa duniani.
Wengi wameharibikiwa sababu ya mwanamke.
Ni Bora kukaa nae mbali kabisa.
Kuliko kuishi nae nyumba moja.
Mama zetu walilelewa ktk mfumo wa do or die lakini dumu kwenye ndoa yako.Kweli, mama zetu na bibi zetu tu angalau walikuwa ma super woman.